Ndugai hapaswi kutoa kauli hiyo ,akumbuke Mungu hadhihakiwi chochote MTU apandacho ndicho atakacho vunaNdugai muogope mwenyezi MUNGU anayekupa pumzi ya bure kabisa.
Hizi ni enzi za utandawazi, teknolojia imebadilika sana.Ulisafiri kwa ungo au?
Waliompiga Lisu anawajua dereva ambae amefichwa na mwenyekiti wa chama kwa hofu ya kuwatajaIpo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
Tena kwenye 5* hotel.Ndugai ulivyonda India kwa matibabu ukakaa zaidi ya miezi 3 je uikuwepo bungeni na jimboni kwako?
Embu labda tupate msaada wa Anapomzunguumzia daktari amabe anatakiwa kumpa taarifa Spika anamzunguzmzia dokta yupi wa hosptal gan ambayo Kama Bunge lina mawasiliano nao?Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Ukishakatwa utapatiwa wewe msukule.Jamaa amepona kabisa, banazuga tu. Angalia sasa anataka kuanza kupigana na Masilingi studio na bado anajidai ni mgonjwa. Akatiwe mshahara mapema iwezekanavyo.
Mnalipa na nani?Mmechelewesha sana huo uamuzi Ndugai fanyeni haraka. Kama kuna mzigo kwenye akaunti yake nao uchukueni kabisa kufidia, hawezekani tunalipa kodi halafu mnawapa watu kirahisi tu
I hope masiringi alipata baraka toka juu ........... la sivyo aanze kufungasha vilago!!
Risala imehifadhiwa..unajua lissu hana muda mrefu wa kuishi ee..taarifa za kitaalam kutoka ubelgiji zinasema hivyoNasikia aliandaliwa risala, sijui alipelekewa? Au ilihifadhiwa kwenye Hansard.
Akishamaliza kipimo chake cha kumbukumbu na uvumilivu wa kusafiri na kukaa bila ya kutegemea msaada wa vifaa, ataruhusiwa kurudi.
Anachafuaje nchi?Mpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Na hapo ndio wanapompa kiki.Hizi kauli uchwara zinambeba sana Lisu, wao wanadhani wanamtisha kumbe ndio kwanza wanachochea kuni. Kama ulivyosema ni kuamka asubuh tunasikia kafutwa Ubunge biashara kwisha. Hizi kelele za mara tumemlipa lisu mara lisu kaondoka na dereva kwa saizi hazina maana.NI MAAMUZI MAGUMU TU,FUTA UBUNGE WAKE.Mkuu mbona huyu bwana anaogopwa sana....si waamke siku moja wafute kila kitu yaishe!!!! maana kila siku hakuna habari zaidi yake............
Yani jamaa wanabwabwaja hadi wanakera. Kama hawana uwezo wa kumfanya chochote si wakae kimya?Hii mikwara ni upuuz tu.speaker anabwabwaja sana, ni kama anajaribu kumtisha....na wasichojua ni kwamba wanavyozidi kumtisha TL na yeye ndio anavyozidi kupata nguvu ya kuendelea.
go go TL