Naukweli unazidi kujulikanaspeaker anabwabwaja sana, ni kama anajaribu kumtisha....na wasichojua ni kwamba wanavyozidi kumtisha TL na yeye ndio anavyozidi kupata nguvu ya kuendelea.
go go TL
Wasitishe wataona nguvu ya umma jamaa hatakufa njaa wanaweza kumchangia vile vile milioni kumi na tatu siyo kitu $5600 hiyo anaweza kupewa kama allowance hata na wapinzani wa serikali ndani ya CCM endelee kupiga kelele akiwa huko nje ya nchi...kuna mambo yanaleta aibu sana yanayofanya na bwana Job...kukaa kimya kuna kuna nafuu, unless otherwise kama nao wanachokoza hoja hii saga iendelee na hatimaye wahusika watiwe mbaroni
Kazi gani unataka azifanye wakati bado yuko kwenye matibabu au daktari wake kakwambia amepona na ameruhusiwa?.Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..
Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
ni makosa makubwa mno!! hakukiwa na 2nd option in case!!Kiukweli kwa hili swala la lissu makosa yaliyofanyika September 7,2017 hakuna wa kuyarekebisha kwa sasa
Hamna cha usaid wala nini. Sheria za Bunge zifuatwe. Akatiwe mshahara huyo Lisu; kama akitaka aombe kulipwa mshahara wake na hao usaid.Mwambie Ndugai LISSU ana ratiba ya kuonana na USAID ambao Ni Moja ya WAFADHILI WAKUBWA SANA TZ (WANAUME in JPMs voice)! Akidhani anamnyima Mshahara wake wa 12m monthly, ajiulize nchi inakosa Bilioni ngapi kwa Ujinga wake? Kabla ya kusitisha Mshahara wa Lissu ajadiliane kwanza na Dr. Mpango!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa dhidi ya uhai siyo kitu, wauaji wameanza kujitokeza
Lissu shikilia hapo hapo huo mshahara dhidi ya uhai wako siyo kitu
Wananchi tutakulipa tu mshahara bila tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo matibabu yanafanyika kwenye interviews za TV mbali mbali kwenye miji na nchi tofauti?Kazi gani unataka azifanye wakati bado yuko kwenye matibabu au daktari wake kakwambia amepona na ameruhusiwa?.
Mwache ateme nyongo,awaumbue watesi wake na akirudi ndipo watatamani ardhi ipasuke wajifiche.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anachafua nchi au anasafisha nchi?Mpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
Pumbavu kabisa unalipa kodi wapi wakati zururaji la korido za lumumba hapo?Mijitu mingine shetani kabisa
Maagizo ya jana hayo! Ngoja tuone hili nalo litafikia wapi!Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Hujui hata kununua vocha tayari umelipa kodi?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Una bichwa functionlessKwan kulipa kodi ni hadi uwe mtumishi/ mfanyabiashara tu. Ukinunua fegi tu tayar umelipa kodi weweeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni watu wasiojulikanaIpo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Ni kweli wazuie haraka mshahara wa Lissu ili hiyo pesa itumike kununua wapinzani wahamie Ccm kuunga mkono juhudi.Mmechelewesha sana huo uamuzi Ndugai fanyeni haraka. Kama kuna mzigo kwenye akaunti yake nao uchukueni kabisa kufidia, hawezekani tunalipa kodi halafu mnawapa watu kirahisi tu
Lisu aliulizwa katika marisasi yote hayo kwanini hakuna hata moja immempata kwa bahati mbaya dereva wake akabakia kutuzuga tu.
Kwan wakati yupo kitandan ulichangia sh ngapi...au ulikuwa unasubiri nan aanzishe huo mchango.
Wabongo bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule hana madhara Mkuu,tumpotezee tu au sio?Mpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi