Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Kwan wakati yupo kitandan ulichangia sh ngapi...au ulikuwa unasubiri nan aanzishe huo mchango.
Wabongo bhana
Wasitishe wataona nguvu ya umma jamaa hatakufa njaa wanaweza kumchangia vile vile milioni kumi na tatu siyo kitu $5600 hiyo anaweza kupewa kama allowance hata na wapinzani wa serikali ndani ya CCM endelee kupiga kelele akiwa huko nje ya nchi...kuna mambo yanaleta aibu sana yanayofanya na bwana Job...kukaa kimya kuna kuna nafuu, unless otherwise kama nao wanachokoza hoja hii saga iendelee na hatimaye wahusika watiwe mbaroni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..

Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
Kazi gani unataka azifanye wakati bado yuko kwenye matibabu au daktari wake kakwambia amepona na ameruhusiwa?.
Mwache ateme nyongo,awaumbue watesi wake na akirudi ndipo watatamani ardhi ipasuke wajifiche.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kwa hili swala la lissu makosa yaliyofanyika September 7,2017 hakuna wa kuyarekebisha kwa sasa
ni makosa makubwa mno!! hakukiwa na 2nd option in case!!

Hii itawahangaisha sana, issue imekaa vibaya mno.
 
Mwambie Ndugai LISSU ana ratiba ya kuonana na USAID ambao Ni Moja ya WAFADHILI WAKUBWA SANA TZ (WANAUME in JPMs voice)! Akidhani anamnyima Mshahara wake wa 12m monthly, ajiulize nchi inakosa Bilioni ngapi kwa Ujinga wake? Kabla ya kusitisha Mshahara wa Lissu ajadiliane kwanza na Dr. Mpango!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna cha usaid wala nini. Sheria za Bunge zifuatwe. Akatiwe mshahara huyo Lisu; kama akitaka aombe kulipwa mshahara wake na hao usaid.
 
vcw122.jpg
 
Mpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
Anachafua nchi au anasafisha nchi?

Lumumba mnachafua nchi, lissu anasaidia kuisafisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maa
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?

-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?

-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?

Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya

=====================

Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.

#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Maagizo ya jana hayo! Ngoja tuone hili nalo litafikia wapi!
 
Kumdhulumu mshahara wake haitabadilisha ukweli anaousema vumilieni tu mumejitakia wenyewe huu msala.
 
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?

-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?

-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?

Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya

=====================

Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.

#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Ni watu wasiojulikana
 
Mmechelewesha sana huo uamuzi Ndugai fanyeni haraka. Kama kuna mzigo kwenye akaunti yake nao uchukueni kabisa kufidia, hawezekani tunalipa kodi halafu mnawapa watu kirahisi tu
Ni kweli wazuie haraka mshahara wa Lissu ili hiyo pesa itumike kununua wapinzani wahamie Ccm kuunga mkono juhudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
Yule hana madhara Mkuu,tumpotezee tu au sio?
 
Back
Top Bottom