Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Mmechelewesha sana huo uamuzi Ndugai fanyeni haraka. Kama kuna mzigo kwenye akaunti yake nao uchukueni kabisa kufidia, hawezekani tunalipa kodi halafu mnawapa watu kirahisi tu
Pumbavu kabisa unalipa kodi wapi wakati zururaji la korido za lumumba hapo?Mijitu mingine shetani kabisa
 
Mbona kabla ya kuanza kuhojiwa na vyombo vya habari ulikuwa ukimpa mshahara wake, kipindi hicho bwana Ndugai ulikuwa na taarifa ya hali ya Lissu?

Kwa matendo haya ya Ndugai hivi karibuni nina wasiwasi kwamba naye alikuwemo katika mpango......
Hili linaeleweka kabisa toka alipoagizwa na magufuli awashughulikie wapinzani ndani ya bunge then watoke nje ili magufuli awashughulie

Jiwe, bashite na huyo adunje ndio washukiwa namba moja ktk shambulio la Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nina mawazo sawa na Spika pia.. Ni hivi, ingekuwa Mh. Lissu bado yuko hospitalini, au karudi nchini kwa wananchi waliomchagua anapaswa kulipwa mshahara na stahiki zake zote kama kawaida, ila sababu ni muda sasa katoka hospitali na yuko huko nje ya nchi anaitwa kila kituo cha TV duniani na kupata kusema anachojisikia, na ku attack bunge na serikali, mm nadhani hastahili kulipwa mshahara hadi arudi nchini na kama hajapona kwanini anatembea nchi zote hizo ktk media mbalimbali na kuchafua nchi yake..? Hatuungi mkono kabisa na tunalaani kwa vikali kitendo cha kushambuliwa kwa risasi alichofanyiwa Mh. Lissu hilo lieleweke wazi, that is our position, ila mgonjwa gani anazunguka duniani ktk TV mbali mbali na kuichafua nchi yake? Mgonjwa hawi hivyo hata kidogo..!!
 
Kila kiongozi wa siasa na Serikali hasa wa upande wa Dol, mapaka mabalozi na Bashite wanataka arudi!!!!!!!!!!!!!

Je wanayo plan B sasa?
 
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?

-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?

-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?

Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya

=====================

Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.

#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Mwambie Ndugai LISSU ana ratiba ya kuonana na USAID ambao Ni Moja ya WAFADHILI WAKUBWA SANA TZ (WANAUME in JPMs voice)! Akidhani anamnyima Mshahara wake wa 12m monthly, ajiulize nchi inakosa Bilioni ngapi kwa Ujinga wake? Kabla ya kusitisha Mshahara wa Lissu ajadiliane kwanza na Dr. Mpango!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai muogope mwenyezi MUNGU anayekupa pumzi ya bure kabisa.
Kuna watu wanahisi walijiumba...unapokuwa na pumzi unasahau wenzako.. Kwa hali ya Ndugai anavyopata tabu kiafya nadhani hakupaswa kufikia hatua hii.. Ndugai mwogope MUNGU.. unaweza unaweza msitishia mshahara na akaendelea Ku survive.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumjulia hali hutaki
Kumpatia hela ya matibabu anayostahili hutaki ila unataka riport ya daktari kiroho swafii
kama unaona ukichukua mshahara utasuuza roho yako unajidanganya - utafeli tena kama ulivyofeli hayo mengine.
 
Back
Top Bottom