Unaona wivu sio?!
Kweli kabisa, ukiona MTU mkubwa kama huyo analalamika hii lazima iogopeshe, sasa kinachotakiwa watu wazungushe akili ili mambo yaende sawa,, !! " if you think hard enough, problems could always be solved "!!Ni hatari sana kwa kiongozi mkubwa kama huyu mwenye madaraka makubwa na ukaribu na watawala kuanza kulalamika kama wanywa kahawa wa vijiweni. Mbona kauli hii inaogopesha?
Katumwa na CCM hao haoNdungai anajifanya yeye ndiyo kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.
Kwani jpm si alikuwa anasema HATUKOPI? SISI NI DONA KANTREE..MABEBERU WASITUTISHE...TUNAJENGA SGR,BWAWA KWA PESA ZETU...Leo imekuwaje?kumbe alikuwa anakopa?Kuna watu walikuwa wanalaumu JPM kwa kukopa
Ghafla wamebadilika wanaunga mkono mikopo
Thubutu!!!!!! Ukitaka kuona uzalendo wao upo wapi jaribu kugusia maslai yao kupunguzwa uone watakavyi kushambuliaLabda ameona Bandari ya Bagamoyo imepotezewa wakati aliishakarimiwa kupitia Sino-Africa Blackmail, mimi nafikiri tupunguze matumizi ya Mhimili wa Bunge ili tulipie mikopo hiyo. Mbona Raila alimbana Kibaki hadi wabunge wakapunguziwa maslahi na serikali ikapumua.
Duh!! Magufuli strong??Next time tunahitaji Magufuli aingie bungeni sasa ili kuondoa upuuzi! Naimani Bunge likiwa na mtu strong hata raisi kufanya upuuzi ni ngumu
Kwahiyo ni sawa watu waendelee kukopa tu ?? Au ??!!Huyi ndigayi asituone wapimbavu kama yeye
Labda anapata Tuition kutoka wale 19 kutoka upinzani?Ndungai anajifanya yeye ndiyo kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.
Ulikuwa na uwezo wa kum criticize usoni?Duh!! Magufuli strong??
Imekuuingia hiyoo eeh .. Ndugai ni mnafiki mkubwa, kwani serikali imeanza kukopa leo ? Alikua wapi siku zote ? Sasa hivi ndio anapata nguvu ya kujitutumuaa.Punguza kuwa Negative siku zote mkuu, wewe siku ukiigua ndugu na jamaa wakakuchangia ukapate matibabu wakikusema utajisikiaje.
Jaribu kutumia kichwa kufikiria sio kila kitu unaandika kwa kufikiria matako tu.
Spika anahusika na kuongezeka kwa Deni la taifa kwa kuendeleea kuwalipa wabungu wasio na chama na inasikitish anavyolalama na Deni la taifaSpika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.
Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.
Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
=====
UPDATES;
=====
=> Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni.
=> Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa tozo. Hivi ipi bora? Sisi Watanzania wa miaka 60 ya Uhuru tuendelee kukopa na Madeni au tubanane banane hapa tujenge wenyewe bila madeni Makubwa yasiyoeleweka? Ni lini tutajenga wenyewe?
=> Tutembeze bakuri ndo heshima? na tukishakopa tunapiga makofi! Sisi wa kukopa kila siku?
=> Tukasema pitisha Tozo, anayetaka asiyetaka, pitisha Tozo. Lazima tuanze kujenga wenyewe. Nani atatufanyia? Yupo wapi huyo Mjomba? Tukapitisha Tozo.
=> Sasa 2025 itaamua. Mkitoa waliopo sawa. Waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa endepo hiyo ndo namna ya kuendesha Nchi.
=> Hivi sasa deni letu ni 70 Trilioni. Hivi ninyi si Wasomi? Is that healthy? Kuna siku nyi itapigwa mnada hii. Madeni Madeni Madeni
=> Bajeti yetu Trilioni 30, Trilioni 10 kati ya hizo kwa Mwaka tunalipa Madeni.
=> Tumeenda Kukopa 1.3 Trilioni, Tunapiga Makofi. Tunawapa Wazungu Trilioni 10 Mariba Matupu. Wanatufanya Sisi Mazezeta. Hela yako Mwenyewe. Anachukua hela yako, halafu anakupa Kidogo Unashangilia.
=> Toza fanya hivi, tujitegemee, Tusimame wenyewe. Kuna ubaya gani? Hata msomi anatupinga.
View attachment 2060338
Maneno ya Lissu yanazidi kutimia.Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.
Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.
Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
=====
UPDATES;
=====
=> Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni.
=> Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa tozo. Hivi ipi bora? Sisi Watanzania wa miaka 60 ya Uhuru tuendelee kukopa na Madeni au tubanane banane hapa tujenge wenyewe bila madeni Makubwa yasiyoeleweka? Ni lini tutajenga wenyewe?
=> Tutembeze bakuri ndo heshima? na tukishakopa tunapiga makofi! Sisi wa kukopa kila siku?
=> Tukasema pitisha Tozo, anayetaka asiyetaka, pitisha Tozo. Lazima tuanze kujenga wenyewe. Nani atatufanyia? Yupo wapi huyo Mjomba? Tukapitisha Tozo.
=> Sasa 2025 itaamua. Mkitoa waliopo sawa. Waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa endepo hiyo ndo namna ya kuendesha Nchi.
=> Hivi sasa deni letu ni 70 Trilioni. Hivi ninyi si Wasomi? Is that healthy? Kuna siku nyi itapigwa mnada hii. Madeni Madeni Madeni
=> Bajeti yetu Trilioni 30, Trilioni 10 kati ya hizo kwa Mwaka tunalipa Madeni.
=> Tumeenda Kukopa 1.3 Trilioni, Tunapiga Makofi. Tunawapa Wazungu Trilioni 10 Mariba Matupu. Wanatufanya Sisi Mazezeta. Hela yako Mwenyewe. Anachukua hela yako, halafu anakupa Kidogo Unashangilia.
=> Toza fanya hivi, tujitegemee, Tusimame wenyewe. Kuna ubaya gani? Hata msomi anatupinga.
View attachment 2060338
Eti Nchi kupigwa mnada,bora wakianza kumpiga mnada yeye aliyeruhusu madeni yapite akiwa Spika.Aibu yake kageuka kuwa mpinzani ndani ya bunge lake mwenyewe.