Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Unaona wivu sio?!
Ni hatari sana kwa kiongozi mkubwa kama huyu mwenye madaraka makubwa na ukaribu na watawala kuanza kulalamika kama wanywa kahawa wa vijiweni. Mbona kauli hii inaogopesha?
Kweli kabisa, ukiona MTU mkubwa kama huyo analalamika hii lazima iogopeshe, sasa kinachotakiwa watu wazungushe akili ili mambo yaende sawa,, !! " if you think hard enough, problems could always be solved "!!
 
Spika kama hutanii kua 2025 wananchi tuamue wenyewe nijambo jema nikushauri utusaidie kupaza sauti na mamlaka ulonayo kupata katiba mpya ambayo itatupa tume huru,yani nakwambia utaweka heshima kubwa ktk taifa hili,nimesema hayo kwakua wananchi tunatambua hii nchi tangu uhuru mnaongoza nyinyi ccm, kama kweli unataka watanzania wakuelewe simamia katiba yawalioba ujiwekee heshima.
 
Kuna watu walikuwa wanalaumu JPM kwa kukopa
Ghafla wamebadilika wanaunga mkono mikopo
Kwani jpm si alikuwa anasema HATUKOPI? SISI NI DONA KANTREE..MABEBERU WASITUTISHE...TUNAJENGA SGR,BWAWA KWA PESA ZETU...Leo imekuwaje?kumbe alikuwa anakopa?

TITAELEWANA TU
 
Labda ameona Bandari ya Bagamoyo imepotezewa wakati aliishakarimiwa kupitia Sino-Africa Blackmail, mimi nafikiri tupunguze matumizi ya Mhimili wa Bunge ili tulipie mikopo hiyo. Mbona Raila alimbana Kibaki hadi wabunge wakapunguziwa maslahi na serikali ikapumua.
Thubutu!!!!!! Ukitaka kuona uzalendo wao upo wapi jaribu kugusia maslai yao kupunguzwa uone watakavyi kushambulia
 
Simbachawene na jeshi lake wasitoe kwenye reli kwa kulazimisha watumishi wa Mungu kukamatwa wakati serikali yao inalipa mpaka mr
 
Punguza kuwa Negative siku zote mkuu, wewe siku ukiigua ndugu na jamaa wakakuchangia ukapate matibabu wakikusema utajisikiaje.

Jaribu kutumia kichwa kufikiria sio kila kitu unaandika kwa kufikiria matako tu.
Imekuuingia hiyoo eeh .. Ndugai ni mnafiki mkubwa, kwani serikali imeanza kukopa leo ? Alikua wapi siku zote ? Sasa hivi ndio anapata nguvu ya kujitutumuaa.
Mbona vitu vingi tu vya serikali vilikua havipitishwi na bunge , yeye lilikuwepo tu pale Kama poyoyo.
 
IMG-20211228-WA0410.jpg
 
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.

Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.

Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?

=====

UPDATES;

=====

=> Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni.

=> Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa tozo. Hivi ipi bora? Sisi Watanzania wa miaka 60 ya Uhuru tuendelee kukopa na Madeni au tubanane banane hapa tujenge wenyewe bila madeni Makubwa yasiyoeleweka? Ni lini tutajenga wenyewe?

=> Tutembeze bakuri ndo heshima? na tukishakopa tunapiga makofi! Sisi wa kukopa kila siku?

=> Tukasema pitisha Tozo, anayetaka asiyetaka, pitisha Tozo. Lazima tuanze kujenga wenyewe. Nani atatufanyia? Yupo wapi huyo Mjomba? Tukapitisha Tozo.

=> Sasa 2025 itaamua. Mkitoa waliopo sawa. Waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa endepo hiyo ndo namna ya kuendesha Nchi.

=> Hivi sasa deni letu ni 70 Trilioni. Hivi ninyi si Wasomi? Is that healthy? Kuna siku nyi itapigwa mnada hii. Madeni Madeni Madeni

=> Bajeti yetu Trilioni 30, Trilioni 10 kati ya hizo kwa Mwaka tunalipa Madeni.

=> Tumeenda Kukopa 1.3 Trilioni, Tunapiga Makofi. Tunawapa Wazungu Trilioni 10 Mariba Matupu. Wanatufanya Sisi Mazezeta. Hela yako Mwenyewe. Anachukua hela yako, halafu anakupa Kidogo Unashangilia.

=> Toza fanya hivi, tujitegemee, Tusimame wenyewe. Kuna ubaya gani? Hata msomi anatupinga.
View attachment 2060338
Spika anahusika na kuongezeka kwa Deni la taifa kwa kuendeleea kuwalipa wabungu wasio na chama na inasikitish anavyolalama na Deni la taifa
 
Maneno ya Lissu yanazidi kutimia.
Mliwaona wapinzani adui kumbe ndio wanasaidia kuendesha nchi hii.
"Mkimaliza na sisi mtaparuana wenyewe kwa wenyewe"
Asante ATL.
Deni la taifa limeongelewa sana na kina Zito, Lema bado hatushtuki.
Hayo madarasa yanajengwa shule hazina maji safi na salama.
Waalimu wachache! Je madawati yapo?
Kuna mengi hapo. Na fedha hii inpigwa kwa kwenda mbele. Sio vijiji vingi vinapata hii pesa. Tuamkeni.
KATIBA KATIBA KATIBA NI MUHIMU KWA KIZAZI KIJACHO.
 
Back
Top Bottom