Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Mimi nafikiri Job angetumia Mhimili wa Bunge kusitisha tozo ili mikopo ndiyo ijenge miradi ili wananchi wapumue angalau kidogo. Kiuchumi ni rahisi kusitisha tozo kuliko kusitisha mikopo.
Hivi pana, tofauti kati ya rais aliyesotea kura kupata urais na rais aliyepewa urais kwenye sahani ya madini ya fedha (silver plate); kwa habari ya kuwa na uchungu na nchi?mama kamjibu vikali, ngoja tusubir Ndu atajibu nini
Criticism kwa watu strong ni jambo la kawaida. Mtu anayeogopa kuwa criticized huyo ni weak n coward!!Ulikuwa na uwezo wa kum criticize usoni?
Dua ya Mwingira inaweza kuleta hili ili kuchafua lugha kwa wajenzi wa mnara wa Babeli? Wakati fulani tuliangalie kwa jicho la kiroho piaHalafu kumbe kilikuwa kikao cha wagogo?[emoji1][emoji1]
Did you have balls au ndio nawewe ulikuwa coward?Criticism kwa watu strong ni jambo la kawaida. Mtu anayeogopa kuwa criticized huyo ni weak n coward!!
Watu strong criticism kwao ni challenge. Sijui tunaelewana??
We acha tuAliyekopa fedha nyingi kuliko wote ni magufuli.
Marehemu pombe ameacha matatizo mengi sana katika hii nchi sababu ya ushamba wake
Lissu hajawahai kutetea wananchi au maslahi ya nchi yeye anateteta maslahi yake na mashoga wenzake.Je umewahi kumsikia akimtetea mwenyekiti wake hata huko aliko?Ndio kageuka kuwa mpinzani sasa. Enzi za Lissu alimuona kuwa ni chizi Sasa ndio anazinduka
Ndio ujue Watanzania tulivyo wanafiki, badala ya kutumia mamlaka yake na mhimili wake anakuja kupiga porojo vijiweni ambako hakuna nguvu za kisheria,nitamuona Ndugai wa maana akiliamusha dude mjengoni na kuigomea serikali na si kutuchuuza huku vijiweni.Sasa sijui anamwambia nani wakati naye ni mhimili katika ile mihimili tuliyonayo....akiamua kutumia mhimili wake kama kweli anaumia nafsini mwake, anaweza kuleta changez ikawa kama toba yake...
Weka analysis vizuri Kati ya pesa zilizokopwa na pesa zilizolipwa, tatizo laweza kuwa ni kiasi cha riba kinachotozwaNdugai anapaswa kujua kwamba kama angesimama imara Magufuli asingethubutu kukopa fedha halafu akaendelea kuuhadaa umma kwamba tunatumia fedha zetu za ndani.
Udhaifu wa Ndugai ndiyo umepelekea taifa kufika hapa lilipo. Bunge chini ya Ndugai lilimuacha Magufuli akaongoza nchi kama vile anaongoza familia yake na sasa kila kitu kimeharibika.
Uliona wapi bunge linajadili mambo ya kukopa.Wakati hilo deni linapaa bunge lilikuwa wapi!