Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Criticism kwa watu strong ni jambo la kawaida. Mtu anayeogopa kuwa criticized huyo ni weak n coward!!

Watu strong criticism kwao ni challenge. Sijui tunaelewana??
Did you have balls au ndio nawewe ulikuwa coward?
 
Ndio kageuka kuwa mpinzani sasa. Enzi za Lissu alimuona kuwa ni chizi Sasa ndio anazinduka
Lissu hajawahai kutetea wananchi au maslahi ya nchi yeye anateteta maslahi yake na mashoga wenzake.Je umewahi kumsikia akimtetea mwenyekiti wake hata huko aliko?
 
Hivi anajisikiaje anapoongoza bunge la chama kimoja Hali ufisadi upo juu
 
Sasa sijui anamwambia nani wakati naye ni mhimili katika ile mihimili tuliyonayo....akiamua kutumia mhimili wake kama kweli anaumia nafsini mwake, anaweza kuleta changez ikawa kama toba yake...
Ndio ujue Watanzania tulivyo wanafiki, badala ya kutumia mamlaka yake na mhimili wake anakuja kupiga porojo vijiweni ambako hakuna nguvu za kisheria,nitamuona Ndugai wa maana akiliamusha dude mjengoni na kuigomea serikali na si kutuchuuza huku vijiweni.
 
Ndugai anapaswa kujua kwamba kama angesimama imara Magufuli asingethubutu kukopa fedha halafu akaendelea kuuhadaa umma kwamba tunatumia fedha zetu za ndani.

Udhaifu wa Ndugai ndiyo umepelekea taifa kufika hapa lilipo. Bunge chini ya Ndugai lilimuacha Magufuli akaongoza nchi kama vile anaongoza familia yake na sasa kila kitu kimeharibika.
Weka analysis vizuri Kati ya pesa zilizokopwa na pesa zilizolipwa, tatizo laweza kuwa ni kiasi cha riba kinachotozwa
 
Huyo huyo ndio alichomoka na swala la bandari ya Bagamoyo

Sasa kaibukia na swala la madeni .......
 
Kuna mtu nilimwambia na nitamkumbusha. Huyu mtu ni ndugu yangu na alishangilia sana siku amesikia kwamba ccm wameshika majimbo karibu yote ya uchaguzi huku hata yale tuliyoyajua ni ngome zaupinzani wameshika. Huhu jamaa angu alishangilia kwa kua na yy ni mfuasi wa Lumumba.

Nilimwambia na mimi nafurahi pamoja na wewe lakini furaha yetu ni tofauti. Kwamba yeye alikua anafurahia ushindi ule wa MICHONGO lakini mimi nilikua nafurahi kwa sababu nilijua wZazi hawa jamaa hawataelewana bungeni na ndani yao hao hao kutatoka upinzani.

Ule uchaguzi ulikua wa kimichongo na si kwamba nilihadithiwa.
 
Mzanzibari akiingia madarakani, machogo akili inawaruka. Wanaona kama nchi imetekwa vile. Ubaguzi na udini mwingi sana.
 
Back
Top Bottom