Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Mkuu leo ni Tarehe 24/01/2023.

Serikali wanatumia aina gani ya program?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] na aliendelea kuwa speaker mpaka pale alipogusa red button... Africa yetu ina vituko vingi sana
Hapa labda Mungu aingilie kati maana machawa yananguvu kubwa kuliko watetezi wa haki
 

Ndugai kwa kuomba msamaha baada ya kusema maneno ya kijasiri ; hapo ndipo alipoonesha UGOGO wake!!! Historia itakuja kumpa hukumu mbaya sana afadhali angekaa kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…