Mhe. Ndugai aliwai zungumza kuwa ipo siku Nchi itapigwa mnada Lakini mkaishia kumshambulia.
Leo hii mikataba mbalimbali inaonekana sasa aliwai kupewa na hakukubaliana nayo.Vijana wa UVCCM mkaishia kumshambulia kwa kuwa mnajiita machawa nkiwa mna roho za kutaka madaraka vijana wa hovyo.
Yeye na kaka yake hawakuiuza nchi, ila waliibinafsisha ikawa mali yao binafsi. Wakajipa hadi power ya kuamua nani aishi na nani asiishi.Mhe. Ndugai aliwai zungumza kuwa ipo siku Nchi itapigwa mnada Lakini mkaishia kumshambulia.
Leo hii mikataba mbalimbali inaonekana sasa aliwai kupewa na hakukubaliana nayo.Vijana wa UVCCM mkaishia kumshambulia kwa kuwa mnajiita machawa nkiwa mna roho za kutaka madaraka vijana wa hovyo.
Mb sasaWeka video
Saa mbovu ilisema ukweli mchungu hiyo siku
Ndungai alifuta hiyo kauli na kuomba msamaha, kwa hiyo haiwezi kutumika kama reference tenaToka ndugai aongee hii kauli deni lilikiwa 70 trillion sasa ni miaka 1.5 deni sasa ni 92 trillion.
Jikite kwenye hoja ya msingi,Yeye na kaka yake hawakuiuza nchi, ila waliibinafsisha ikawa mali yao binafsi. Wakajipa hadi power ya kuamua nani aishi na nani asiishi.
Jitu la 'hovyo' kabisa lile zee, nikikumbuka hila lilizomfanyia Lissu akiwa ICU bila hata chembe ya aibu!
Hata hivyo nchi bado haijapigwa mnada na wala dalili ya hilo haipo. Kama ipo thibitisha.
wote ni ccm hawajawahi kuwa na nia njema na watanzaniaJikite kwenye hoja ya msingi,
NDUGAI aliwahi kusema ipo siku inchi itapigwa mnada,,
Hoja ya msingi Ni maneno yake,,na sio itikadi yake.wote ni ccm hawajawahi kuwa na nia njema na watanzania
Kama viongozi ndio wananung'unika sasa sisi wananchi tufanye nini. Badala ya kutafuta ufumbuzi analalamika, hafai uongozi hivyo alistahili kuondoka.Kipindi Ndugai akiwa spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliwahi kusema ipo siku nchi itauzwa!
Kiukweli wapo waliomuunga mkono pia wapo waliomuona amepotoka.
Sasa cha kujiuliza yeye Kwa vile alikuwa jikoni huenda alinusa harufu ya DP world. Ama alioteshwa ama alijiropokea tu.
Hii kauli yake huwa inatafakarisha sana mpaka kesho.