Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Mhe. Ndugai aliwai zungumza kuwa ipo siku Nchi itapigwa mnada Lakini mkaishia kumshambulia.

Leo hii mikataba mbalimbali inaonekana sasa aliwai kupewa na hakukubaliana nayo.Vijana wa UVCCM mkaishia kumshambulia kwa kuwa mnajiita machawa nkiwa mna roho za kutaka madaraka vijana wa hovyo.
Yeye na kaka yake hawakuiuza nchi, ila waliibinafsisha ikawa mali yao binafsi. Wakajipa hadi power ya kuamua nani aishi na nani asiishi.

Jitu la 'hovyo' kabisa lile zee, nikikumbuka hila lilizomfanyia Lissu akiwa ICU bila hata chembe ya aibu!

Hata hivyo nchi bado haijapigwa mnada na wala dalili ya hilo haipo. Kama ipo thibitisha.
 
Toka Ndugai aongee hii kauli deni lilikiwa 70 trillion sasa ni miaka 1.5 deni sasa ni 92 trillion.
 
Yeye na kaka yake hawakuiuza nchi, ila waliibinafsisha ikawa mali yao binafsi. Wakajipa hadi power ya kuamua nani aishi na nani asiishi.

Jitu la 'hovyo' kabisa lile zee, nikikumbuka hila lilizomfanyia Lissu akiwa ICU bila hata chembe ya aibu!

Hata hivyo nchi bado haijapigwa mnada na wala dalili ya hilo haipo. Kama ipo thibitisha.
Jikite kwenye hoja ya msingi,

NDUGAI aliwahi kusema ipo siku inchi itapigwa mnada,,
 
Ndungai ni mtu mbaya sana ambae hakuwahi kutokea katika taifa hili,na tukichunguza vizuri,ni yeye na jpm ndo waliotufikisha tulipo,iwe kuzuri au kubaya,utaamua mwenyewe,kitendo cha kutokusimamia usawa wa wingi wa wabunge bungeni faida zake,lile lilikuwa kosa la karne katika nchi hii
 
Kipindi Ndugai akiwa spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliwahi kusema ipo siku nchi itauzwa!
Kiukweli wapo waliomuunga mkono pia wapo waliomuona amepotoka.

Sasa cha kujiuliza yeye Kwa vile alikuwa jikoni huenda alinusa harufu ya DP world. Ama alioteshwa ama alijiropokea tu.

Hii kauli yake huwa inatafakarisha sana mpaka kesho.
 
Ujinga wa Watanzania ni kujifanya tunajuwa kumbe hatujuwi. Kajisomee / jionee ujielewe ujinga wako, bofya chini hapo:

Kipindi Ndugai akiwa spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliwahi kusema ipo siku nchi itauzwa!
Kiukweli wapo waliomuunga mkono pia wapo waliomuona amepotoka.

Sasa cha kujiuliza yeye Kwa vile alikuwa jikoni huenda alinusa harufu ya DP world. Ama alioteshwa ama alijiropokea tu.

Hii kauli yake huwa inatafakarisha sana mpaka kesho.
Kama viongozi ndio wananung'unika sasa sisi wananchi tufanye nini. Badala ya kutafuta ufumbuzi analalamika, hafai uongozi hivyo alistahili kuondoka.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hapo vip!

Muda mwingine nikifikiria hii kauli ya Ndungai,najifunza yakwamba kuna watu wanauwezo wa kufahamu mtu kiuwezo,kitabia ,akili na maono yake na akaweza kuishauri au kutahadharisha jamii dhidi ya watu fulani fulani.

Je, Ndungai ni mtabiri au mtu mwenye uwezo wa kumfahamu mtu ndani nje?
 
Back
Top Bottom