Nini maana ya kupiga mnada nchi?inauzwa kama mbuzi au kunatofauti?Ni ndoto zake tu za mchana. Duniani hapa ushaona wapi nchi ikapigwa mnara? Ugiriki ilifilisika 2018 lkn mpk leo ipo.
Usukuma gang ulimponza.ma
Dungai was light.. tumependa hatujapenda huo ndo ukweli wa uhuru wa mawazoNdugai aliwahi zungumza kuwa ipo siku Nchi itapigwa mnada Lakini mkaishia kumshambulia.
Leo hii mikataba mbalimbali inaonekana sasa aliwai kupewa na hakukubaliana nayo.Vijana wa UVCCM mkaishia kumshambulia kwa kuwa mnajiita machawa nkiwa mna roho za kutaka madaraka vijana wa hovyo.
Uko sahihi 100% bila Ndugai,Magufuri,Biswalo na Mahera haya machungu yote yasingekuwepo.Ndungai ni mtu mbaya sana ambae hakuwahi kutokea katika taifa hili,na tukichunguza vizuri,ni yeye na jpm ndo waliotufikisha tulipo,iwe kuzuri au kubaya,utaamua mwenyewe,kitendo cha kutokusimamia usawa wa wingi wa wabunge bungeni faida zake,lile lilikuwa kosa la karne katika nchi hii
Halafu watu wanapigwa changa la macho na Ndugai kwa vineno viwili kama watoto wanamshabikia.Waliouza nchi hii ni Magufuri,Ndugai na Mahera.
Upumbavu tu unawasumbua.Halafu watu wanapigwa changa la macho na Ndugai kwa vineno viwili kama watoto wanamshabikia.
Ujinga mtupu.
Light indeed. Light in the head.Dungai was light.. tumependa hatujapenda huo ndo ukweli wa uhuru wa mawazo
Ndugai ametumia "political expediency" tu.Ndungai alijua hayo yakiwa ni top secret, akashindwa kuvumilia akasema.
Akapigwa mawe.
Uliona akijiuzulu ?Ndugai ametumia "political expediency" tu.
Yeye na Magufuli waliharibu sana nchi.
Na kama kweli nchi inauzwa, mzalendo hajiuzulu, anakomaa.
Sasa kwa nini Ndugai kajiuzulu?
Bunge linatakiwa kusimamia serikali, kwa nini hakukomaa na kuisimamia serikali?
Kwani Ndugai katoka vipi kwenye Uspika?Uliona akijiuzulu ?
Tayari imeuzwa kwelk kama alivyotabiri.Ndugai aliwahi zungumza kuwa ipo siku Nchi itapigwa mnada Lakini mkaishia kumshambulia.
Leo hii mikataba mbalimbali inaonekana sasa aliwai kupewa na hakukubaliana nayo.Vijana wa UVCCM mkaishia kumshambulia kwa kuwa mnajiita machawa nkiwa mna roho za kutaka madaraka vijana wa hovyo.
Ndugai aliwahi zungumza kuwa ipo siku Nchi itapigwa mnada Lakini mkaishia kumshambulia.
Leo hii mikataba mbalimbali inaonekana sasa aliwai kupewa na hakukubaliana nayo.Vijana wa UVCCM mkaishia kumshambulia kwa kuwa mnajiita machawa nkiwa mna roho za kutaka madaraka vijana wa hovyo.
Ndungai ni mtu mbaya sana ambae hakuwahi kutokea katika taifa hili,na tukichunguza vizuri,ni yeye na jpm ndo waliotufikisha tulipo,iwe kuzuri au kubaya,utaamua mwenyewe,kitendo cha kutokusimamia usawa wa wingi wa wabunge bungeni faida zake,lile lilikuwa kosa la karne katika nchi hii
Wanasahau hawa wabunge wanaowatuhumu kwenda Dubai na kuuza nchi ni product ya kazi tukuka kabisa ya huyo Ndugai na boss wake.Watz ni wanafki yaan washasahau ndugai alivokua anafanya..leo hii wanataka kumchafua rais ambae ni mskivu na anajitaid kutatua changamoto zote tulizokua tunaongea kipind cha jpm
Mf ....ajira
Ye alikuwa wapi ilipouzwa tangia miongo kadhaa iliyopitaWeka video
TakbiiiiiiiiiirUjinga wa Watanzania ni kujifanya tunajuwa kumbe hatujuwi. Kajisomee / jionee ujielewe ujinga wako, bofya chini hapo:
Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...www.jamiiforums.com