Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Ni ndoto zake tu za mchana. Duniani hapa ushaona wapi nchi ikapigwa mnada? Ugiriki ilifilisika 2018 lkn mpk leo ipo.

Usukuma gang ulimponza.
 
Ni ndoto zake tu za mchana. Duniani hapa ushaona wapi nchi ikapigwa mnara? Ugiriki ilifilisika 2018 lkn mpk leo ipo.

Usukuma gang ulimponza.ma
Nini maana ya kupiga mnada nchi?inauzwa kama mbuzi au kunatofauti?
 
Ndugai aliwahi zungumza kuwa ipo siku Nchi itapigwa mnada Lakini mkaishia kumshambulia.

Leo hii mikataba mbalimbali inaonekana sasa aliwai kupewa na hakukubaliana nayo.Vijana wa UVCCM mkaishia kumshambulia kwa kuwa mnajiita machawa nkiwa mna roho za kutaka madaraka vijana wa hovyo.
Dungai was light.. tumependa hatujapenda huo ndo ukweli wa uhuru wa mawazo
 
Ndungai ni mtu mbaya sana ambae hakuwahi kutokea katika taifa hili,na tukichunguza vizuri,ni yeye na jpm ndo waliotufikisha tulipo,iwe kuzuri au kubaya,utaamua mwenyewe,kitendo cha kutokusimamia usawa wa wingi wa wabunge bungeni faida zake,lile lilikuwa kosa la karne katika nchi hii
Uko sahihi 100% bila Ndugai,Magufuri,Biswalo na Mahera haya machungu yote yasingekuwepo.
 
Ndungai alijua hayo yakiwa ni top secret, akashindwa kuvumilia akasema.

Akapigwa mawe.
Ndugai ametumia "political expediency" tu.

Yeye na Magufuli waliharibu sana nchi.

Na kama kweli nchi inauzwa, mzalendo hajiuzulu, anakomaa.

Sasa kwa nini Ndugai kajiuzulu?

Bunge linatakiwa kusimamia serikali, kwa nini hakukomaa na kuisimamia serikali?
 
Uliona akijiuzulu ?
 
Ndugai aliwahi zungumza kuwa ipo siku Nchi itapigwa mnada Lakini mkaishia kumshambulia.

Leo hii mikataba mbalimbali inaonekana sasa aliwai kupewa na hakukubaliana nayo.Vijana wa UVCCM mkaishia kumshambulia kwa kuwa mnajiita machawa nkiwa mna roho za kutaka madaraka vijana wa hovyo.
Tayari imeuzwa kwelk kama alivyotabiri.
 
Ndugai aliwahi zungumza kuwa ipo siku Nchi itapigwa mnada Lakini mkaishia kumshambulia.

Leo hii mikataba mbalimbali inaonekana sasa aliwai kupewa na hakukubaliana nayo.Vijana wa UVCCM mkaishia kumshambulia kwa kuwa mnajiita machawa nkiwa mna roho za kutaka madaraka vijana wa hovyo.

Leo hii mpk mnamkumbuka ndugai ambae kila cku mlikua mnamponda ...unafki ni mmbaya xnaa [emoji1436][emoji1436]mleta mada acha unafiki nchi imeuzwaje??Mnakera na kujidai wazalendo kumbe hamna mnachojua
 
Ndungai ni mtu mbaya sana ambae hakuwahi kutokea katika taifa hili,na tukichunguza vizuri,ni yeye na jpm ndo waliotufikisha tulipo,iwe kuzuri au kubaya,utaamua mwenyewe,kitendo cha kutokusimamia usawa wa wingi wa wabunge bungeni faida zake,lile lilikuwa kosa la karne katika nchi hii

Watz ni wanafki yaan washasahau ndugai alivokua anafanya..leo hii wanataka kumchafua rais ambae ni mskivu na anajitaid kutatua changamoto zote tulizokua tunaongea kipind cha jpm
Mf ....ajira
 
Wanasahau hawa wabunge wanaowatuhumu kwenda Dubai na kuuza nchi ni product ya kazi tukuka kabisa ya huyo Ndugai na boss wake.

Watz madishi huwa yapo chenga sana.
 
Weka video
Ye alikuwa wapi ilipouzwa tangia miongo kadhaa iliyopita
Asitufanye watanzania ni wavivi kufikiri. Suala la mikataba ya Siri na mibovu haijaanza Leo.

Afadhari Mama Amejitahidi kuweka uwazi Kwa kuruhusu mijadala ya mikataba katika chombo Muhimu Cha wananchi Cha kuisimamia Serikali(Bunge) na wadau mbalimbali nje ya Bunge.

Nafikiri uhuru huu wa kujadili na kuhoji ndio uliokupa hata wewe kuleta upupu wako uliopo kichwani hapa.

Ndugai akae pembeni nyakati zake zilishapita. Sisi tunajua kula kupokezana ,ye yupo nje anaona mambo hayako sawa ,sisi tulishaona kitambo
 
Ujinga wa Watanzania ni kujifanya tunajuwa kumbe hatujuwi. Kajisomee / jionee ujielewe ujinga wako, bofya chini hapo:

Takbiiiiiiiiiir
 
Back
Top Bottom