HeheheDaah, Ndugai tusamehe
Mhenga ktk ubora wake.Jumanne nyeusi kwa Rais Samia inakuja
ANGUKO LA UCHUMI KWA TAIFA LA MAREKANI (1929~1933) Aliyeitwa Herbert hoover aliyekuwa na miezi nane tu kwenye uongozi wake kutokana na kutokujuwa vema nini maana ya urais wa marekani uchumi ukaanguka, siku ambayo wao waliyoitaja kama jumanne nyeusi hali ilikuwa mbaya zaidi 0.75 walipoteza...www.jamiiforums.com
“Kuna siku nchi itapigwa mnada hii” - Job Ndugai, 28/12/2021
Job Ndugai alisema mkopo wa fedha wa Sh1.3 trilioni kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) ili kukabiliana na athari za kiuchumi za COVID-19 (ambazo walizipeleka kusikoonekana), malipo na riba ya mkopo huo ni Sh10 trilioni
Bila tashwishi na kupepesa macho, hii ni biashara kichaa.
Inapelekea mpaka Walimu wiliya ya Mvomero hawajalipwa Mishahara Yao.
Na tunakoelekea kuna siku kweli hii nchi itapigwa mnada, mikopo imekuwa mikopo. Madeni na Tanzania, Tanzania na madeni. MADENI WALIMU.
Tozo zinazidi kuongezwa kila kukicha haijulikani zinatumika wapi na kukopa wanazidi kukopa kazi ipo.
Mr mkiki.
View attachment 2493902
[emoji23][emoji23][emoji23]Mhenga ktk ubora wake.
madalali akina Kitenge, Mwijaku na wenzao waarabu:Jumanne nyeusi kwa Rais Samia inakuja
ANGUKO LA UCHUMI KWA TAIFA LA MAREKANI (1929~1933) Aliyeitwa Herbert hoover aliyekuwa na miezi nane tu kwenye uongozi wake kutokana na kutokujuwa vema nini maana ya urais wa marekani uchumi ukaanguka, siku ambayo wao waliyoitaja kama jumanne nyeusi hali ilikuwa mbaya zaidi 0.75 walipoteza...www.jamiiforums.com
“Kuna siku nchi itapigwa mnada hii” - Job Ndugai, 28/12/2021
Job Ndugai alisema mkopo wa fedha wa Sh1.3 trilioni kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) ili kukabiliana na athari za kiuchumi za COVID-19 (ambazo walizipeleka kusikoonekana), malipo na riba ya mkopo huo ni Sh10 trilioni
Bila tashwishi na kupepesa macho, hii ni biashara kichaa.
Inapelekea mpaka Walimu wiliya ya Mvomero hawajalipwa Mishahara Yao.
Na tunakoelekea kuna siku kweli hii nchi itapigwa mnada, mikopo imekuwa mikopo. Madeni na Tanzania, Tanzania na madeni. MADENI WALIMU.
Tozo zinazidi kuongezwa kila kukicha haijulikani zinatumika wapi na kukopa wanazidi kukopa kazi ipo.
Mr mkiki.
View attachment 2493902
Watu wa kufa hawamadalali akina Kitenge, Mwijaku na wenzao waarabu:
Hoja yako haina mashiko kwasababu kipindi anayasema haya alikuwa bado ni Spika wa bunge baada ya hapo alivyoanza kusakamwa na kwa ushauri wa Mzee Malechela akaachia ngazi na zaidi hilo Magufuli asingeweza kuingia mkataba wa hivi kwahiyo kuandika kuwa Ndugai angeunga mkono huu mkataba ni uongo.Kuhusu huyo jamaa et ana uzalendo napinga mnoo.. hajawahi kua na huo uzalendo!! Hii issue ingekua kipind cha shujaa nakwambia huyu Mzee angewashughulikia bungeni wanaopinga, hoja nying za msingi bungeni kipind kile alikua anazima na kuwashughulikia wapinzani hata kutolewa ndan ya bunge au kufungiwa. Tatizo lake ni kunyofolewa kweny kiti tuu!! Nakuhakikishia angekua kweny kiti asingethubutu na angeunga mkono juhudi za Rais!! Ishi humo..
Unaongea nini mkuu?Kuhusu huyo jamaa et ana uzalendo napinga mnoo, hajawahi kua na huo uzalendo!! Hii issue ingekua kipind cha shujaa nakwambia huyu Mzee angewashughulikia bungeni wanaopinga, hoja nying za msingi bungeni kipind kile alikua anazima na kuwashughulikia wapinzani hata kutolewa ndan ya bunge au kufungiwa. Tatizo lake ni kunyofolewa kweny kiti tu! Nakuhakikishia angekua kweny kiti asingethubutu na angeunga mkono juhudi za Rais!! Ishi humo.
Namnukuu "Nani atatufanyia? Yuko wapi huyo Mjomba?. . ."
Nimeisikiliza hii clip ya Mheshimiwa Ndugai (mb).
Imenitia simanizi sana nikikumbuka jinsi alivyoondolewa u-spika na chama chake kwa kejeli ya hali ya udhalilishaji mkubwa. Kumbe walikuwa na agenda yao mfukoni.
CCM mna laana ya mwalimu.