Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Masikini ndugai aliposema nchi itapigwa mnada alisakamwa mpaka na wabunge wenzio sijui kosa lake lilikuwa nini hapo mpaka wamsakame vile?
 
“Kuna siku nchi itapigwa mnada hii” - Job Ndugai, 28/12/2021

Job Ndugai alisema mkopo wa fedha wa Sh1.3 trilioni kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) ili kukabiliana na athari za kiuchumi za COVID-19 (ambazo walizipeleka kusikoonekana), malipo na riba ya mkopo huo ni Sh10 trilioni

Bila tashwishi na kupepesa macho, hii ni biashara kichaa.

Inapelekea mpaka Walimu wiliya ya Mvomero hawajalipwa Mishahara Yao.

Na tunakoelekea kuna siku kweli hii nchi itapigwa mnada, mikopo imekuwa mikopo. Madeni na Tanzania, Tanzania na madeni. MADENI WALIMU.

Tozo zinazidi kuongezwa kila kukicha haijulikani zinatumika wapi na kukopa wanazidi kukopa kazi ipo.

Mr mkiki.
View attachment 2493902
Mhenga ktk ubora wake.
 
madalali akina Kitenge, Mwijaku na wenzao waarabu:
 
Nimeisikiliza hii clip ya Mheshimiwa Ndugai (mb).

Imenitia simanizi sana nikikumbuka jinsi alivyoondolewa u-spika na chama chake kwa kejeli ya hali ya udhalilishaji mkubwa. Kumbe walikuwa na agenda yao mfukoni.

CCM mna laana ya mwalimu.
 
Inaonekana CCM baadhi ya viongozi walikuwa tayari na agenda hii ya DP-WORLD.

Sasa kwa kuona Ndugai anaanza kuwa na mrengo tofauti nao.

Ikawa hamna namna zaidi ya kumfagilia mbali ukizingatia hii issue ilikuwa ni lazima ipitie Bungeni. Sidhani kama angekubali kuipitisha DP-WORLD.
 
Kuhusu huyo jamaa et ana uzalendo napinga mnoo, hajawahi kua na huo uzalendo!! Hii issue ingekua kipind cha shujaa nakwambia huyu Mzee angewashughulikia bungeni wanaopinga, hoja nying za msingi bungeni kipind kile alikua anazima na kuwashughulikia wapinzani hata kutolewa ndan ya bunge au kufungiwa. Tatizo lake ni kunyofolewa kweny kiti tu! Nakuhakikishia angekua kweny kiti asingethubutu na angeunga mkono juhudi za Rais!! Ishi humo.
 
Alinusa maslahi yake kuguswa anajivika koti la uzalendo ghafla, it's better aliondoka
 
Kuhusu huyo jamaa et ana uzalendo napinga mnoo.. hajawahi kua na huo uzalendo!! Hii issue ingekua kipind cha shujaa nakwambia huyu Mzee angewashughulikia bungeni wanaopinga, hoja nying za msingi bungeni kipind kile alikua anazima na kuwashughulikia wapinzani hata kutolewa ndan ya bunge au kufungiwa. Tatizo lake ni kunyofolewa kweny kiti tuu!! Nakuhakikishia angekua kweny kiti asingethubutu na angeunga mkono juhudi za Rais!! Ishi humo..
Hoja yako haina mashiko kwasababu kipindi anayasema haya alikuwa bado ni Spika wa bunge baada ya hapo alivyoanza kusakamwa na kwa ushauri wa Mzee Malechela akaachia ngazi na zaidi hilo Magufuli asingeweza kuingia mkataba wa hivi kwahiyo kuandika kuwa Ndugai angeunga mkono huu mkataba ni uongo.
 
Kuhusu huyo jamaa et ana uzalendo napinga mnoo, hajawahi kua na huo uzalendo!! Hii issue ingekua kipind cha shujaa nakwambia huyu Mzee angewashughulikia bungeni wanaopinga, hoja nying za msingi bungeni kipind kile alikua anazima na kuwashughulikia wapinzani hata kutolewa ndan ya bunge au kufungiwa. Tatizo lake ni kunyofolewa kweny kiti tu! Nakuhakikishia angekua kweny kiti asingethubutu na angeunga mkono juhudi za Rais!! Ishi humo.
Unaongea nini mkuu?
Kwani hapo alikuwa ameondolewa U spika?
Au kusema hivyo ndio kulimfanya aondolewe u spika?
 
Nimeisikiliza hii clip ya Mheshimiwa Ndugai (mb).

Imenitia simanizi sana nikikumbuka jinsi alivyoondolewa u-spika na chama chake kwa kejeli ya hali ya udhalilishaji mkubwa. Kumbe walikuwa na agenda yao mfukoni.

CCM mna laana ya mwalimu.
Namnukuu "Nani atatufanyia? Yuko wapi huyo Mjomba?. . ."

Nikiangalia ule mkataba Naona Mjomba sasa kaja 😭
 
Back
Top Bottom