Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni


Hata wamasai wa ngorongoro, mateso wanayoyapata ni kwa sababu ya waarabu.
 
Laana na adhabu ya Mungu na iwe juu ya Tulia Ackson.
 
Umeelewa ulichokiandika?
 
Mzee muwe mnaelewa code 😂😂😂 alikua speaker lkn haikua kama mnavyodhan cz alijua mda wowote anapigwa chini!! Hakuna speaker mwenye uhakika na kiti chake then awe against aliemchagua!! Never ever in Tanzania!! Muwe mnaelewa hapo ilikua tayar anajua anachomolewa!!
 
Kuanzia leo kama Mtumishi wa Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo.

Mungu Mwenyezi aliyeumba Mbingu na Nchi.

Namtangaza rasmi Ndugu yetu mpendwa, Job Ndugai kuwa ni Nabii.
 
Kuanzia leo kama Mtumishi wa Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo.
Mungu Mwenyezi aliyeumba Mbingu na Nchi.

Namtangaza rasmi Ndugu yetu mpendwa, Job Ndugai kuwa ni Nabii.
Hakuna unabii wowote, maslahi yake yalifikia tamati.

Alikuwa na jeuri ya kuinuwa mdomo wake kuusema utawala wa shetani Magufuli?

Huyu si alihamia kabisa Chato?
 
Kwenye hio Tume unless unamaanisha wewe na wao mimi kwenye hio Mikopo Simo kabisa wala sikubaliani nayo... Let the record show for future generations...
Serikali ikishachaguliwa, basi inakuwa na mamlaka ya kufanya kwa niaba ya ‘UMMA’. Hivyo ujinga wote wanaofanya ni sisi ndio tunaonekana tumefnaya, ikiwemo kukopa. Sasa kama hukubaliani nao, inabidi either mfanye mapinduzi kuipindua serikali, au subirini uchuguzi mkuu ujao muwaondoe madarakani. Ila so far, ni sisi ndio tunakopa.
 
Inasikitisha sana kwa kweli, wanakopa bado pesa wanazokopa zinaishia kwenye mifuko yao wakijipanga kwaajili ya uchaguzi ujao na kulisha familia zao na ukoo wao kwa hanasa za hali ya juu, hii nchi ni lini tutakuwa na viongozi wazalendo, wakijitokeza wazalendo wataitwa kila majina mabaya na destination zao huwa ni kifo, very sad!
 
Hakuna unabii wowote, maslahi yake yalifikia tamati.

Alikuwa na jeuri ya kuinuwa mdomo wake kuusema utawala wa shetani Magufuli?

Huyu si alihamia kabisa Chato?
Huyo shetani magufuli ndio aliyewafungua macho juu ya rasilimali zenu, ndiye aliyewaheshimisha kimataifa,miradi mikubwa ya kimkakati mngezisikia kwa wenzenu, uzalendo makazini, flyover na interchange, sgr, stigler gorge mngesikia kwa majirani, masoko na stendi, kodi zetu zilikuwa zinatumika vizuri

Hakuna nchi yenye maendeleo ambayo imeongozwa na watu lege lege ni bora kuuwa watu wanaokwamisha maendeleo ili nchi isonge mbele, angalia Rwanda chini ya PK.....
 
Waliotufungua macho ni akina Zitto Kabwe,Tundu Lisu,Chacha Wangwe,Freeman Mbowe,John Heche,Ezekiel Wenje,John Cheyo,Mch.Msigwa,Sugu na Mrema.
 
Waliotufungua macho ni akina Zitto Kabwe,Tundu Lisu,Chacha Wangwe,Freeman Mbowe,John Heche,Ezekiel Wenje,John Cheyo,Mch.Msigwa,Sugu na Mrema.
Unaongelea hao wagagagigikoko wachumia tumbo, wanafiki wakujitegemea, hao wajinga waliwafumbua nyie chadomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…