Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Inaonekana CCM baadhi ya viongozi walikuwa tayari na agenda hii ya DP-WORLD.
Sasa kwa kuona Ndugai anaanza kuwa na mrengo tofauti nao.
Ikawa hamna namna zaidi ya kumfagilia mbali ukizingatia hii issue ilikuwa ni lazima ipitie Bungeni. Sidhani kama angekubali kuipitisha DP-WORLD.
Hata wamasai wa ngorongoro, mateso wanayoyapata ni kwa sababu ya waarabu.