Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Yametimia!
Mishahara, posho, marupurupu na viinua mgongo vya wabunge vifyekwe. Mabunge ya nchi nyingi za Afrika ni mzigo kwa nchi zao hakuna wanachofanya cha kusaidia nchi.
Hata hana habari tena na nyie,anahudumia lile shamba lake la kisasa la korosho pamoja na lile la zabibu.J O B. Y U S T I N O N DUGA I
Leo Hii Unaeleweka
Acha waoaneee eeeLumumba hari si shwari vita vya panzi