Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Yametimia!
images (1).jpeg
 
Mishahara, posho, marupurupu na viinua mgongo vya wabunge vifyekwe. Mabunge ya nchi nyingi za Afrika ni mzigo kwa nchi zao hakuna wanachofanya cha kusaidia nchi.
 
Mishahara, posho, marupurupu na viinua mgongo vya wabunge vifyekwe. Mabunge ya nchi nyingi za Afrika ni mzigo kwa nchi zao hakuna wanachofanya cha kusaidia nchi.

Afadhali umeandika kwenye JF kwani wakikujuwa wanaweza hata kukuuwa , kwa kujaribu kuwatowa tonge mdomoni
 
Ndugai ndiyo anapaswa kupewa PhD ya heshima, siyo ile mnaita nyanya
 
Nafasi za Ubunge ziwe za kujitolea ....posho tu hakuna salary....
Uwe na kazi yako au biashara zako....tupate watu setious kidogo khaaaa
 
Yule jamaa Traoule nchi yake haidaiwi na paka yoyote duniani, inawezekana ila ni kujiendekeza tu
 
Back
Top Bottom