Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Sawa ni bora kuwa Mnafiki ambaye mara moja moja unasema ukweli kuliko Wanafiki wanaopiga makofi tu mpaka wanakufa ili hali Nchi inaangamia.
Bado haikuondolei unafiki wako Nani atakuamini Tena Kama alishakupuuza?
 
Kama jiwe alivyojimilikisha nchi
Hangaya akiendelea kuwepo na kutaka kutawaka si ajabu akawepo na rais hajaye baada ya Hangaya akawa Mzanzibar wakaendelea kulithishana, watakuja kustuka sekta zote za juu wamejaa wazanzibar
 
Ndugai ,songa mbele

Nina uhakika asilimia 100% ,mfumo aloutengeneza JPM linapokuja suala LA kujitegemea , hata Wahusika wa Usalama wa Nchi waliiunga mkono



2025, Samia na Genge lake watupwe nje.
 
JPM aliwaambia kuhusu Corona, mkitaka kutusaidia kiukweli madeni, siyo kutupa mikopo. Uganda na Kenya walikopa asilimia kubwa ikaishia kwa Ofisi ya Rais na wabunge kujiongezea mishahara.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ama kwa hakika sub woofer akili inaanza kusogea ! CCM ni chama hatari sana ndo sasa waanza kunangana wenyewe ! Yametuumuza mno majitu haya !
 
Bunge limeshindwa kushauri na kusimamia Serikali ipunguze matumizi mkubwa, ipunguze utitiri wa Kodi, iwekeze kwenye Viwanda, iweke mfumo mzuri wa kukusanya Kodi, nk Spika Ndugai asiwe mnafiki kujifanya kutema nyongo nje ya Bunge badala nae aache kuendelea kuwakumbatia na kuwalipa Wabunge 19 hewa ili kuipunguzia Serikali mzigo.
 
Kipindi hayo yote yanafanyika ndungai alikuwa Bado hajawa spika wa bunge? Ccm ni wanafiki wazandiki maguluguja.uzuli ni kwamba bunge lote ni kijani wananchi tunajua Kila kitu.
Maajabu ya karne 21.mpiga fimbo anashangaa na yeye.alivyo bogasi Sasa Deni Ni Trilion 70 wamekopa trilion 1.3. wanatakiwa kulipa trilion 10. Kwa mwaka.anasema amekopa kidogo analipa nyingi kwaiyo naangalia 1.3 tu kasema analipa zaidi kwa wazungu?. Aangalii Deni zima kuwa Ni trilion 70. Kwa kiongozi aina ya huyu.nchi itauzwa kweli hii. Kwanini akutumia bunge kukataa kukopa ili kipindi chake anaingia mpaka anatoka Deni aliache alilolikuta tu?.
 
Alitamani ampasue [emoji28] sema kimbunga Jobo akiwa anaongea unaweza sema anaongea kitu serious sana kumbe samtaim anaropoka upupu ila sura yake iko serious sana
Sasa kwa kauli yake Hii Ndo kadhihirisha kua kweli alkua dhaifu.

Maana mpk Deni linafika uko alkua akiongoza mhimili muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…