Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Nchi haiwezi kuendelea kukiwa na watu kama hao Bungeni harafu ndio watunga sheria..huyo inakiwa akafuge nyuki kijijini na si kusimamia mambo ya uchumi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aingizwe kwenye guiness bookKati ya hizo pesa bilion 26 na ushee zilitumika kumtibia India.. BILLION 26 kwa kichwa kimoja na kumfanya kuwa mgonjwa ghali zaidi duniani
Hao ana maslahi naoPumbavu zake huyu mbonà nchi haipigwi mnada kwa kuwalipa covid19 fedha za bure!
Duh wakati yeye pekee amekopa 22trilioni tena akatupiga kamba kua ni pesa za ndani.Taratibu watu wataanza kumwelewa magufuli. Alikua nania tujitegemee wenyewe. Ñdio kisa cha kuchukiwa na wenye nia mbaya ndio wamekumbatiwa na Awamu ya 6
Yeye pamoja na Wabunge wenzake ndio wanasababisha deni la taifa linaongezeka kwa sababu hakuna wanachozalisha pale bungeni zaidi ya matumizi makubwa yasiyo ya lazima. Mfano posho wanazolipwa hata kama mbunge ameenda kusinzia bungeni kama yule mzee wa Bunda, magari ya kifahari badala ya kununua Vitz, mishahara isiyokatwa kodi, kupitisha sheria kandamizi dhidi ya wanyonge, kuvunja katiba kwa kuingiza wabunge wasiokuwa na chama mfano wale COVID19(wanaolipwa kodi za wanyonge kwa kuingizwa bungeni na Ndugai wakati hawana vyama kinyume na utaratibu wa kikatiba)Spika wa Bunge ameonya kitendo cha serikali kuendelea kutegemea mikopo kutoka nje kuendesha nchi kitu ambacho kimefanya deni la taifa kuwa kubwa maradufu "Ipo siku hii nchi itapigwa mnada,kopeni tu".
View attachment 2060343
Duh wakati yeye pekee amekopa 22trilioni tena akatupiga kamba kua ni pesa za ndani.
Itabidi pemba na unguja vianze kuuzwa maana ilikopa tanzania sio tanganyikaKatika mnada huo, Unguja na Pemba watahusika kuuzwa? Inawezekana maza akauza huko bara akijua huko kwake hapatauzwa.
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.
Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.
Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
=====
UPDATES;
=====
=> Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni.
=> Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa tozo. Hivi ipi bora? Sisi Watanzania wa miaka 60 ya Uhuru tuendelee kukopa na Madeni au tubanane banane hapa tujenge wenyewe bila madeni Makubwa yasiyoeleweka? Ni lini tutajenga wenyewe?
=> Tutembeze bakuri ndo heshima? na tukishakopa tunapiga makofi! Sisi wa kukopa kila siku?
=> Tukasema pitisha Tozo, anayetaka asiyetaka, pitisha Tozo. Lazima tuanze kujenga wenyewe. Nani atatufanyia? Yupo wapi huyo Mjomba? Tukapitisha Tozo.
=> Sasa 2025 itaamua. Mkitoa waliopo sawa. Waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa endepo hiyo ndo namna ya kuendesha Nchi.
=> Hivi sasa deni letu ni 70 Trilioni. Hivi ninyi si Wasomi? Is that healthy? Kuna siku nyi itapigwa mnada hii. Madeni Madeni Madeni
=> Bajeti yetu Trilioni 30, Trilioni 10 kati ya hizo kwa Mwaka tunalipa Madeni.
=> Tumeenda Kukopa 1.3 Trilioni, Tunapiga Makofi. Tunawapa Wazungu Trilioni 10 Mariba Matupu. Wanatufanya Sisi Mazezeta. Hela yako Mwenyewe. Anachukua hela yako, halafu anakupa Kidogo Unashangilia.
=> Toza fanya hivi, tujitegemee, Tusimame wenyewe. Kuna ubaya gani? Hata msomi anatupinga.
View attachment 2060338
Mgonjwa wa bei mbayaKati ya hizo pesa za mikopo tunamdai BILION 26 na ushee zilizotumika kumtibia maradhi yake India na kumfanya kuwa mgonjwa ghali zaidi duniani anayetarajiwa kuingia kwenye kitabu cha Guiness book of world records