GE2025 Job Ndugai: Mimi ndiye Mke wenu Mkubwa

GE2025 Job Ndugai: Mimi ndiye Mke wenu Mkubwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi huko bungeni kuna watu wamefukia matunguli Yao ama😨 kina ndugai wanatafuta nini hasa kama ni Kula wamekula mpaka wamevimbiwa
 
Kutwa kuwaambia vijana wajiajiri,wao kidogo TU wakiyumbishwa kwenye ubunge wanachanganyikiwa kabisa na hali washakusanya pesa/mali kibao.
Hata yule bishoo wa bumbuli unamuona kavurugwa kabisaaa.
Bora ugali dagaa bila stress kuliko kuku mrija na stress juu
Na hapo ako na benefits za kutosha!
 
Hii mizee ya Kigogo bana, jamaa si angepumzika tu ale pesheni ya Uspika..ana jipya lipi?
 
Kimasihara masihara anatoboa huyu mzee
Ngoma ngumu hii najuwa mfumo hawamtaki lkn atakomaa naoo 😄
Lazima mbeleni huko kuna mtu atachezea bakora zake maana dharau naona zinazidi 😄

Ova
 
Job Ndugai ameendelea kuonja joto ya jiwe kutoka jimboni kwake huko kwao Dodoma.

Hali si hali, awashuku waliopangwa kumzomea mkutanoni akimwaga Sera.


View attachment 3427844
Heeeee, sikuwahi kujua kama Ndugai anafilwa na wajumbe. Au labda ana maumbile mawili ya ke na me. Kwamba yeye ni mke mkubwa!!!!!. Bado najiuliza maswali juu ya kauli yake. Ni bwabwa au ana uke matakoni???
 
Ndugai amefika mpaka ngazi ya uspika bado tu anang'ang'ania ubunge! Ndio yaleyale ya waziri mkuu. Halafu majukwaani wakisimama wanawaambia vijana mkajiajiri huku wao wanagoma kustaafu.
 
Nawashauri CCM, watu wamechoka! Msilazimishe wagombea kwa wananchi! Mnahatarisha maisha ya watu wenu watu wamechoka!
 
Back
Top Bottom