Job Ndugai: Mimi ndiye mke wenu mkubwa

Job Ndugai: Mimi ndiye mke wenu mkubwa

Status
Not open for further replies.
Hivi ndugai anajua mke anachofanywa usiku au ulimi ulitereza?
 
Imagine huyo ni mtu mwenye 80% ya mshahara wa speaker for life na marupurupu luluki.

Wacha wamzomee tu, kuna watu wao hawajui kusaza.
 
Kuna maneno hata uwe umelewa namna gani, yaani ile chakari huwezi kuyatamka.

Ukiona hivyo kuna namna
 
Tunaomba tule tu video alochomoa bakora na kumtwanga ya kichwa mgombea mwanzake mwaka ule wa 2020 hadi akapoteza fahamu 😛
 
Niliwaambia Hadi mtu atakapojizamisha kwenye chemba ya choo yenye kinyesi akiomba ridhaa ya wajumbe mje kunistua ..huyo kamwaga Radhi angalau kasogea sogea...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom