Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Mh. Job Ndugai. Baada ya kujiuzulu vyombo vyote vya habari vikiongelea suala lako. Iwe BBC, VoA, DW na vi-fm vyetu huku mtaani habari ilikuwa ni Ndugai.
Kwanini nasema ukae kwa kutulia, watu wengi huku mitaani kwetu ukiwauliza kwanini Job aliondoka wanajibu moja matata sana. Wanasema ulimkosoa Mama kuwa aache kukopa kopa. Hivyo uliondoka sababu ulimuudhi Rais.
Sasa waulize kwani mkopo nyie unawathiri nini? Nilishangaa kuone koneksheni waliyoifanya kuwa eti sababu ya kukopa vitu kama Sembe, mafuta, sabuni, petroli na vinginevyo vimepanda bei ili zipatikane hela za kulipa madeni. Nilishangaa na sijui kama ni kweli ila ndo hicho wanachojua.
Kama kuna sababu nyingine ya Ndugai kujiuzulu waambiwe wananchi la sivyo mpaka sasa Ndugai anaonekana ji Jasiri.
Usishangae Ndugai kupita sehemu kwa mguu wakaanza kumshangilia. Yaani wanaamini sababu ya Ndugai kujiuzulu ni kukuambia wewe punguza kukopa. Hawajui kingine maana ndicho chanzo pekee kilichoonekana kama chanzo.
Ile stress ya 2025 wala wananchi huku hawaijadili. Wala kitendawiki cha chungu chapwaga bila moto hawaijadili. Wanachojua ni kuwa mkuu alikosolewa na aliyemkosoa kaomba msamaha Lakini msamaha umetoswa basi tena.
Ndugai pita tu kwa amani mtaani.