Job Ndugai popote ulipo, kaa kwa kutulia na uwe na amani. Watanzania waanaamini hivi

Mh. Job Ndugai. Baada ya kujiuzulu vyombo vyote vya habari vikiongelea suala lako. Iwe BBC, VoA, DW na vi-fm vyetu huku mtaani habari ilikuwa ni Ndugai.

Kwanini nasema ukae kwa kutulia, watu wengi huku mitaani kwetu ukiwauliza kwanini Job aliondoka wanajibu moja matata sana. Wanasema ulimkosoa Mama kuwa aache kukopa kopa. Hivyo uliondoka sababu ulimuudhi Rais.

Sasa waulize kwani mkopo nyie unawathiri nini? Nilishangaa kuone koneksheni waliyoifanya kuwa eti sababu ya kukopa vitu kama Sembe, mafuta, sabuni, petroli na vinginevyo vimepanda bei ili zipatikane hela za kulipa madeni. Nilishangaa na sijui kama ni kweli ila ndo hicho wanachojua.

Kama kuna sababu nyingine ya Ndugai kujiuzulu waambiwe wananchi la sivyo mpaka sasa Ndugai anaonekana ji Jasiri.

Usishangae Ndugai kupita sehemu kwa mguu wakaanza kumshangilia. Yaani wanaamini sababu ya Ndugai kujiuzulu ni kukuambia wewe punguza kukopa. Hawajui kingine maana ndicho chanzo pekee kilichoonekana kama chanzo.

Ile stress ya 2025 wala wananchi huku hawaijadili. Wala kitendawiki cha chungu chapwaga bila moto hawaijadili. Wanachojua ni kuwa mkuu alikosolewa na aliyemkosoa kaomba msamaha Lakini msamaha umetoswa basi tena.

Ndugai pita tu kwa amani mtaani.
Huo mtaa wenu wa mateja wavuta bangi hamjielewi
 
Thubutu huko kwenu Hangaya katembelea Mara ngapi?
Lakini kwa sukumagang,Kona mbili unasikia Hangaya yupo sukumagang.
Anajua vema sukumagang ni Kama maji,usipoyanywa utaogezewa drip hospital.
Tumedhamilia kukata mizizi yote ya sukuma gang na sasa tushamuondoa Ndugayi wenu hadi mrudi kwenu burundi mtuachie nchi yetu
 
TZ sukumagang wako kila mkoa,Labda wewe na kijikabila chako mtarudi kwenu Burundi.
 
Mh. Job Ndugai. Baada ya kujiuzulu vyombo vyote vya habari vikiongelea suala lako. Iwe BBC, VoA, DW na vi-fm vyetu huku mtaani habari ilikuwa ni Ndugai.

Kwanini nasema ukae kwa kutulia, watu wengi huku mitaani kwetu ukiwauliza kwanini Job aliondoka wanajibu moja matata sana. Wanasema ulimkosoa Mama kuwa aache kukopa kopa. Hivyo uliondoka sababu ulimuudhi Rais.

Sasa waulize kwani mkopo nyie unawathiri nini? Nilishangaa kuone koneksheni waliyoifanya kuwa eti sababu ya kukopa vitu kama Sembe, mafuta, sabuni, petroli na vinginevyo vimepanda bei ili zipatikane hela za kulipa madeni. Nilishangaa na sijui kama ni kweli ila ndo hicho wanachojua.

Kama kuna sababu nyingine ya Ndugai kujiuzulu waambiwe wananchi la sivyo mpaka sasa Ndugai anaonekana ji Jasiri.

Usishangae Ndugai kupita sehemu kwa mguu wakaanza kumshangilia. Yaani wanaamini sababu ya Ndugai kujiuzulu ni kukuambia wewe punguza kukopa. Hawajui kingine maana ndicho chanzo pekee kilichoonekana kama chanzo.

Ile stress ya 2025 wala wananchi huku hawaijadili. Wala kitendawiki cha chungu chapwaga bila moto hawaijadili. Wanachojua ni kuwa mkuu alikosolewa na aliyemkosoa kaomba msamaha Lakini msamaha umetoswa basi tena.

Ndugai pita tu kwa amani mtaani.
NNoNsensee...
 
Labda mtaani kwenu huko ambako watu hawajielewi. Yaani watu wa mtaani kwenu hawajui vitu gani husababisha mfumuko wa bei?
 
Sukuma gang wote mnaombea isijengwe ili kulinda legacy ya kulazimisha ya jiwe
Kama wataingia mkatabq wenye masilahi kwa taifa tunaunga mkono.

Hatutaki mkataba wa kinyonyaji.
 
Back
Top Bottom