Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Bandari ya bagamoyo itajengwaHakuna Sukuma Gang anayeunga mkono mkataba wa kilaghai wa Bandari ya Bagamoyo.
Anayekasirika
Kalifufue lile dubwasha kule chato uzikwe yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bandari ya bagamoyo itajengwaHakuna Sukuma Gang anayeunga mkono mkataba wa kilaghai wa Bandari ya Bagamoyo.
Huo mtaa wenu wa mateja wavuta bangi hamjielewiMh. Job Ndugai. Baada ya kujiuzulu vyombo vyote vya habari vikiongelea suala lako. Iwe BBC, VoA, DW na vi-fm vyetu huku mtaani habari ilikuwa ni Ndugai.
Kwanini nasema ukae kwa kutulia, watu wengi huku mitaani kwetu ukiwauliza kwanini Job aliondoka wanajibu moja matata sana. Wanasema ulimkosoa Mama kuwa aache kukopa kopa. Hivyo uliondoka sababu ulimuudhi Rais.
Sasa waulize kwani mkopo nyie unawathiri nini? Nilishangaa kuone koneksheni waliyoifanya kuwa eti sababu ya kukopa vitu kama Sembe, mafuta, sabuni, petroli na vinginevyo vimepanda bei ili zipatikane hela za kulipa madeni. Nilishangaa na sijui kama ni kweli ila ndo hicho wanachojua.
Kama kuna sababu nyingine ya Ndugai kujiuzulu waambiwe wananchi la sivyo mpaka sasa Ndugai anaonekana ji Jasiri.
Usishangae Ndugai kupita sehemu kwa mguu wakaanza kumshangilia. Yaani wanaamini sababu ya Ndugai kujiuzulu ni kukuambia wewe punguza kukopa. Hawajui kingine maana ndicho chanzo pekee kilichoonekana kama chanzo.
Ile stress ya 2025 wala wananchi huku hawaijadili. Wala kitendawiki cha chungu chapwaga bila moto hawaijadili. Wanachojua ni kuwa mkuu alikosolewa na aliyemkosoa kaomba msamaha Lakini msamaha umetoswa basi tena.
Ndugai pita tu kwa amani mtaani.
Tumedhamilia kukata mizizi yote ya sukuma gang na sasa tushamuondoa Ndugayi wenu hadi mrudi kwenu burundi mtuachie nchi yetuThubutu huko kwenu Hangaya katembelea Mara ngapi?
Lakini kwa sukumagang,Kona mbili unasikia Hangaya yupo sukumagang.
Anajua vema sukumagang ni Kama maji,usipoyanywa utaogezewa drip hospital.
TZ sukumagang wako kila mkoa,Labda wewe na kijikabila chako mtarudi kwenu Burundi.Tumedhamilia kukata mizizi yote ya sukuma gang na sasa tushamuondoa Ndugayi wenu hadi mrudi kwenu burundi mtuachie nchi yetu
Mgeni wa siasa utamjua tuTZ sukumagang wako kila mkoa,Labda wewe na kijikabila chako mtarudi kwenu Burundi.
NNoNsensee...Mh. Job Ndugai. Baada ya kujiuzulu vyombo vyote vya habari vikiongelea suala lako. Iwe BBC, VoA, DW na vi-fm vyetu huku mtaani habari ilikuwa ni Ndugai.
Kwanini nasema ukae kwa kutulia, watu wengi huku mitaani kwetu ukiwauliza kwanini Job aliondoka wanajibu moja matata sana. Wanasema ulimkosoa Mama kuwa aache kukopa kopa. Hivyo uliondoka sababu ulimuudhi Rais.
Sasa waulize kwani mkopo nyie unawathiri nini? Nilishangaa kuone koneksheni waliyoifanya kuwa eti sababu ya kukopa vitu kama Sembe, mafuta, sabuni, petroli na vinginevyo vimepanda bei ili zipatikane hela za kulipa madeni. Nilishangaa na sijui kama ni kweli ila ndo hicho wanachojua.
Kama kuna sababu nyingine ya Ndugai kujiuzulu waambiwe wananchi la sivyo mpaka sasa Ndugai anaonekana ji Jasiri.
Usishangae Ndugai kupita sehemu kwa mguu wakaanza kumshangilia. Yaani wanaamini sababu ya Ndugai kujiuzulu ni kukuambia wewe punguza kukopa. Hawajui kingine maana ndicho chanzo pekee kilichoonekana kama chanzo.
Ile stress ya 2025 wala wananchi huku hawaijadili. Wala kitendawiki cha chungu chapwaga bila moto hawaijadili. Wanachojua ni kuwa mkuu alikosolewa na aliyemkosoa kaomba msamaha Lakini msamaha umetoswa basi tena.
Ndugai pita tu kwa amani mtaani.
Burundi ni kwao jiwe na vikaragosi vyake kama weweTZ sukumagang wako kila mkoa,Labda wewe na kijikabila chako mtarudi kwenu Burundi.
😂😂😂😂😂Burundi ni kwao jiwe na vikaragosi vyake kama wewe
😂😂 Kumbe.Mgeni wa siasa utamjua tu
Haamini kwenye mambo tunayoamini Sukuma gang. Si sehemu yetu.Alikuwa ni kijakazi wa jiwe so lazima awe muumini na mwana sukuma gang
Alizingua sana.Nimekosa Mimi
Nimekosa Mimi
Rais Nisamehe
Watanzania Nisameheni
Nipo Kyerwa Alinikera Mpaka Nikaacha Kunywa Rubisi Kwa HasiraAlizingua sana.
Sukuma gang woote ni watwana wa jiwe ukiwemo na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikaragosi Mjomba wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sukuma gang wote mnaombea isijengwe ili kulinda legacy ya kulazimisha ya jiweKwani nani kasema haijengwi?
Labda mtaani kwenu huko ambako watu hawajielewi. Yaani watu wa mtaani kwenu hawajui vitu gani husababisha mfumuko wa bei?Mh. Job Ndugai. Baada ya kujiuzulu vyombo vyote vya habari vikiongelea suala lako. Iwe BBC, VoA, DW na vi-fm vyetu huku mtaani habari ilikuwa ni Ndugai.
Kwanini nasema ukae kwa kutulia, watu wengi huku mitaani kwetu ukiwauliza kwanini Job aliondoka wanajibu moja matata sana. Wanasema ulimkosoa Mama kuwa aache kukopa kopa. Hivyo uliondoka sababu ulimuudhi Rais.
Sasa waulize kwani mkopo nyie unawathiri nini? Nilishangaa kuone koneksheni waliyoifanya kuwa eti sababu ya kukopa vitu kama Sembe, mafuta, sabuni, petroli na vinginevyo vimepanda bei ili zipatikane hela za kulipa madeni. Nilishangaa na sijui kama ni kweli ila ndo hicho wanachojua.
Kama kuna sababu nyingine ya Ndugai kujiuzulu waambiwe wananchi la sivyo mpaka sasa Ndugai anaonekana ji Jasiri.
Usishangae Ndugai kupita sehemu kwa mguu wakaanza kumshangilia. Yaani wanaamini sababu ya Ndugai kujiuzulu ni kukuambia wewe punguza kukopa. Hawajui kingine maana ndicho chanzo pekee kilichoonekana kama chanzo.
Ile stress ya 2025 wala wananchi huku hawaijadili. Wala kitendawiki cha chungu chapwaga bila moto hawaijadili. Wanachojua ni kuwa mkuu alikosolewa na aliyemkosoa kaomba msamaha Lakini msamaha umetoswa basi tena.
Ndugai pita tu kwa amani mtaani.
Kama wataingia mkatabq wenye masilahi kwa taifa tunaunga mkono.Sukuma gang wote mnaombea isijengwe ili kulinda legacy ya kulazimisha ya jiwe
Awamu ya tano ndiyo iliongoza kwa ufisadi tangu nchi ipate uhuruKama wataingia mkatabq wenye masilahi kwa taifa tunaunga mkono.
Hatutaki mkataba wa kinyonyaji.