Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kutambua hilo. Miaka 25 bungeni imezidi, 15 inatosha.
Kweli kabisaKatiba mpya iweke ukomo wa Ubunge. Wala wasitokee wa kusema mbona kwa nchi nyingine hamna utaratibu huo. Hizo nchi nyengine waje kujifunza kwetu.
Amekuwa mbunge kwa robo karne. Atuoneshe amefanya nn kwa wana Kongwa kabla ya kuondoka.Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.
Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.
Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
Hata angetaka kugombea hapatiJob Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.