Job Ndugai ulimnanga Lissu; sasa jitokeze utuambie legacy yako ni ipi

Job Ndugai ulimnanga Lissu; sasa jitokeze utuambie legacy yako ni ipi

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Hello JF

Niende kwenye mada straight, ni wakati muafaka Jobo Ndugai aweke hadharani legacy yake ya uspika na ya kibunge huko kongwa sambamba na oanisho la kumnanga ndugu Lissu kuhusu ubunge wake wa miaka10 huko Singida Mashariki kwamba hakuacha legacy yoyote.

Baada ya kuachia kiti cha uspika kwa utopolo ni wakati umeiva tumuone akijiunua kwa kutanabaisha bayana mambo bayana ayaitayo legacy ambayo yeye kafanya na Lissu hakufanya.

Tunakuombea uendelee kupauka vizuri ili upate wasaa wa kuyaainisha bayana hayo mambo mpauko yalioambatana na ustaafu masalia.

Tutakufuata tutakufuata hadi uandike hio legacy yako.

Moshi ufukao ni bayana ya maangamizi katika uchochevu wa uitwao moto.

Kama yupo ajuaye ama aulizae na anaesubiri legacy ya job ambatana nami ongeza maulizo
 
Mkuu, huyo si mwenzio tena. Kapoteza title tu na si kipato.

Pia tambua hakuna mwanasiasa hata mmoja mwenye nia ya kuleta maendeleo nchi hii. Wote siasa kwao ni ajira.
 
Bichwaaaaaaaa Bwana kongwa aache Legasy Gani zaidi Ile ya kutumia mabillion ya Kodi za wananchi kujitibia ugonjwa alioupata wakati akifanya mchezo mtamu wa kulamba sukari?

Pumbaf kabisa Lile jitu!
 
Back
Top Bottom