Veta Tena😃Umri wake bado unaruhusu aende veta akajiajiri
Wasifanye vituko aibu tuone Sisi!Bunge wamefanya kijiweni.
Amuone mfumo na awe kwenye mfumo,asisome kwenye magazeti tuu!Salaam!
Kuna Nafasi ipi ya juu bungeni ambayo hukuifikia ambayo inakupa ujasiri wa kugombea Tena ubunge?
Kwanini usitafute changamoto nyingine?
Tafadhali sana nakusihi , achana na harakati hizo kuepuka hizi aibu ndogo ndogo.
Swali: Unagombea ubunge Ili iweje?
Nawasilisha 🙏
Amuone mfumo na awe kwenye mfumo,asisome kwenye magazeti tuu!Salaam!
Kuna Nafasi ipi ya juu bungeni ambayo hukuifikia ambayo inakupa ujasiri wa kugombea Tena ubunge?
Kwanini usitafute changamoto nyingine?
Tafadhali sana nakusihi , achana na harakati hizo kuepuka hizi aibu ndogo ndogo.
Swali: Unagombea ubunge Ili iweje?
Nawasilisha 🙏
Mke wa Mfalme Ahabu una mfahamu ? Kama una mfahamu, basi huwezi pata shida kuelewa nini kinaendelea, kwenye taifa.Wasifanye vituko aibu tuone Sisi!
S100 naye anataka kugombea Ili iwe Nini?
Umri wa kulea wajukuu umewadia.Amuone mfumo na awe kwenye mfumo,asisome kwenye magazeti tuu!
🤣Bunge watu wanalitumia kama kijiwe kwasababu hawana sehemu ya kwenda kwahiyo kwake ni kama kijiwe cha kahawa anataka tu aende
Sasa nchi SI ya kifalme hiiMke wa Mfalme Ahabu una mfahamu ? Kama una mfahamu, basi huwezi pata shida kuelewa nini kinaendelea, kwenye taifa.
Hawaamni katika ujasiriamali,wanaona ubunge ndio Dili!Umri wa kulea wajukuu umewadia.
Umri wa kulea wajukuu?Hao ndiyo kwanza wanatafuta dogodogo wa kuzeeka nao.Umri wa kulea wajukuu umewadia.
Au naye anataka 2nd term,Anataka kuwaonesha kwamba mlimuonea kumfurusha u-spika na watu wanampenda sana.
Mke wa Mfalme Ahabu, alikuwa anaitwa Jezebel. Na katika kipindi kile Jezebel alikuwa akiwala vichwa manabii wa Mungu alie juu.. The same shit ipo Tanzania watumishi wengi wamekunywa mvinyo wake kwa mapesa lukuki.. 2nd Manipulation kwenye mfumo.. mfumo upo manipulated hatari, hizo ni kazi za alie kuwa mke wa mfalme wa Ahabu.. Kuna jambo ambalo Mungu anataka kupitisha kwenye taifa, kama ilivyokuwa wakati ule, na Jezebel alisimama kupinga, na ndivyo ilivyo sasa.Sasa nchi SI ya kifalme hii