mwalisi
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 986
- 957
Akapate ujuzi na yeye ili ajiajiliVeta Tenaš
Veta ni ya akina Marope!
Akapate ujuzi na yeye ili ajiajiliVeta Tenaš
Veta ni ya akina Marope!
Ingekuwa ni hivyo,familia za Mwinyi na Kikwete wangepumzika.Anajenga himaya ili wajukuu zake wasizuguke na bahasha kutafuta vibarua Kwa wahindi
Ashazeeka yulešIle fimbo si bado ipoo, jichanganyeni upigwe one kick hadi chini.. Jichanganye!
Wahi veta, watakusaidia kujua ukitafutacho.Yupo kama.mimi? Hajui anachokitafuta.
Ili akawapambanie wananchSalaam!
Kuna Nafasi ipi ya juu bungeni ambayo hukuifikia ambayo inakupa ujasiri wa kugombea Tena ubunge?
Kwanini usitafute changamoto nyingine?
Tafadhali sana nakusihi , achana na harakati hizo kuepuka hizi aibu ndogo ndogo.
Swali: Unagombea ubunge Ili iweje?
Nawasilisha š
Udom wanahitimu kwa maelfu,Ili akawapambanie wananch
Mie sawa, ila mwenzangu anautaka urais 2030. Namshauri apumzike kagomaWahi veta, watakusaidia kujua ukitafutacho.
Kweli kabisa , Ssh apumzike, imetoshaMie sawa, ila mwenzangu anautaka urais 2030. Namshauri apumzike kagoma