Kijana, hongera kwa kunuia kusaka kazi. Kila la kheri, wadau watakuja. Ila kuwa muangalifu na lugha na mtizamo wako. Hebu toa kwanza 'ukijisikia' kwenye hilo ombi lako. Wahindi wanasema ukienda kuomba kazi weka mikono nyuma.
Kazi ya kuuza bar nayo vipi? Kama huipendi ongezea kwenye hiyo list. Mungu atakusaidia utapata tu, usijali.
basi kuna kazi ya kupara hiyo miwa unayoijua.are you ready?kaka mitaa ipi hiyo! Na unaongelea Miwa ile ya kutafuna au Miwa kitu kingine. Plz naomba full ufafanuzi. Mi kazi napiga tu!
basi kama uko ready kuparamiwa ..then nakupm contact na maelezo mengine.