Job Opportunity plz!!

Job Opportunity plz!!

Tugutuke

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
501
Reaction score
166
Jamani ee.. Mimi ni kijana,umri miaka 24! Natafuta kazi lakini iwe ni hapa hapa Jijini Dsm.
Kama unajisikia plz tuwasiliane. Cv yangu ni the way nitakavyoelezea kwa mdomo na kupractice only! Sitoitaji mshahara mkubwa,kwani nataka angalau nipate pa kuamkia na kufanya kazi. Ila kiukweli kazi ya gereji na guest house siwezi!
Plz msinizodoe! Natafuta maisha hapa! Nitashukuru sana.
 
Kijana, hongera kwa kunuia kusaka kazi. Kila la kheri, wadau watakuja. Ila kuwa muangalifu na lugha na mtizamo wako. Hebu toa kwanza 'ukijisikia' kwenye hilo ombi lako. Wahindi wanasema ukienda kuomba kazi weka mikono nyuma.
Kazi ya kuuza bar nayo vipi? Kama huipendi ongezea kwenye hiyo list. Mungu atakusaidia utapata tu, usijali.
 
asante Mugglin kwa ushauri wako,ntarekebisha tu!
Be always blessed mkuu.
 
kijana kuna kazi mitaa KTM .
unaijua miwa?
 
kijana kuna kazi mitaa KTM .
unaijua miwa?

kaka mitaa ipi hiyo! Na unaongelea Miwa ile ya kutafuna au Miwa kitu kingine. Plz naomba full ufafanuzi. Mi kazi napiga tu!
 
kaka mitaa ipi hiyo! Na unaongelea Miwa ile ya kutafuna au Miwa kitu kingine. Plz naomba full ufafanuzi. Mi kazi napiga tu!
basi kuna kazi ya kupara hiyo miwa unayoijua.are you ready?
 
Ya! Am ready, kinacho 'mata' ni income yangu itakuwaje uki-compare na job yenyewe!
Lete dili basi,ishu itakuwa kuwaje! And then nakuja tu!
Life iz harder.
 
basi kama uko ready kuparamiwa ..then nakupm contact na maelezo mengine.
 
Ukijibana kwamba unataka Dar pekee inaweza kukupa tabu ukakaa sana mtaa, uwe na open mind pia utayari wa kwenda kwingine tofauti na dar,coz pesa ni pesa popote inapatikana 7i Dar peke yake
 
hongera kwa nia ya wazi ya kutaka kazi. maana kuna vijana wenzetu wengi wanaishia kulala hadi saa sita mchana, wanaamka a kukaa tu tena ukizingatia wengine ni graduates wanasubiri kazi ziwafuate siting room.

kwa moyo huo soon utapata kazi binti wala usihofu.
 
Back
Top Bottom