Blazing Inferno
Member
- May 10, 2021
- 25
- 24
- Thread starter
- #41
Ni kweli mkuu mara nyingi watu wa aina hii wanakua na historia ya utukutu, kuteswa utotoni, kunyanyaswa kingono, kupata malezi ya upande mmoja, kutopendwa na wazazi au marafiki, kudhalilishwa, kudhihakiwa, kuonewa kazini ama kwenye mahusiano, kutamani madaraka lakini anashindwa kujieleza. Haya yanamfanya kutafuta mahali pa kutolea hasira zake at leat ajifariji kwa kujaribu kua dominant indirectly.Ukikuta mtu wa namna hiyo ni mbinafsi sana.
Kwa mtu aliyestarabika hujaribu kumkosoa mtu na sio kumcheka au kudhihaki..
wenyewe wenye lugha yao huwezi ona wakidhihaki mtu. Ila mbuzi za kiafrika ni much know
Huyu bado ana ulimbukeni wa lugha mkuu tumuache asipate msongo zaidi