okey kama utaweza acha mawasiliano yako ya email pm then uwe mvumilivu make naweza kutafuta baada ya miez miwili, incase hali ya kipato imekuwa shida kubwa utaniambia.SAUT- MWANZA
Kabla sijakupa kazi nichambulie faida na hasara za mkataba wa dp world na Tanzania naamini ukiweza kuchambua hapa kipi kina shida kipi kinafaa leo jua halizami unapata kazi.Habari,
Naitwa Dorcas Lucky (24) nina degree ya sheria lakini pia nimepitia mafunzo ya sheria kwa vitendo.
Natafuta ajira yoyote inayoendana na elimu yangu na hata nafasi ya ajira nyingine zozote kwasababu nina uwezo wa kujifunza haraka na kuendana na mazingira mbalimbali.
Natanguliza shukrani za dhati.
Mawasiliano dorcasshayo@gmail.com
Hapana bado sijapataUna muhuri? Kama ndio njoo PM