Job seeker!

Job seeker!

umesoma chuo gani? hili ni swali muhimu sana kama hautajali nijibu.
 
Habari,

Naitwa Dorcas Lucky (24) nina degree ya sheria lakini pia nimepitia mafunzo ya sheria kwa vitendo.

Natafuta ajira yoyote inayoendana na elimu yangu na hata nafasi ya ajira nyingine zozote kwasababu nina uwezo wa kujifunza haraka na kuendana na mazingira mbalimbali.

Natanguliza shukrani za dhati.

Mawasiliano dorcasshayo@gmail.com
Kabla sijakupa kazi nichambulie faida na hasara za mkataba wa dp world na Tanzania naamini ukiweza kuchambua hapa kipi kina shida kipi kinafaa leo jua halizami unapata kazi.
 
Back
Top Bottom