Job vacancy

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
2,891
Reaction score
1,214
JOB VACANCY..

Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa?

1.Mshahara Tsh 900,000/= kwa mwezi.
... 2.Mda wa kazi kuingia saa 8.30 asubuhi
hadi saa 4 jioni.
3.Allowance 300,000/= kwa mwezi.
4.Siku za kazi jumatatu hadi ijumaa.
5.Usafiri na nyumba ya kuishi ipo.

Requirements..
1.Cheti cha form 4 na form 6 {CSEE & ACSEE}
2.Elimu ya chuo. {Diploma au Bachelor degree}.
3.Hakuna uzoefu unaohitajika.
4.Umri chini ya miaka 45. Kama unahitaji hiyo kazi, basi usijali.

Njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta manake hata mimi ninatafuta kazi kama hiyo.

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Hahaaaa kwanza nimecheka halafu nimesikitika.. MUNGU akurehemu
 
Tusimlaumu sana wapendwa kila mtu anavyowaza na kuona alete post humu ndivyo tabia yake alivyo hata ktk maisha yake ya kawaida
 
Hahahahahahaha uwiiiii. Njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta manake hata mimi ninatafuta kazi kama hiyo.
 
Naogopa kukufuru kwa kusema ...be cursed..., anyway, una umr gan ndugu?
 
Ni ubunifu kwenye fani ya kuomba kazi...
 
Tusimlaumu sana wapendwa kila mtu anavyowaza na kuona alete post humu ndivyo tabia yake alivyo hata ktk maisha yake ya kawaida

Mkuu angalia nan mwenyej hapa kat yangu mm naww den uje tena useme kitu

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Hahahahahahaha uwiiiii. Njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta manake hata mimi ninatafuta kazi kama hiyo.

Harakat zinaendelea mkuu hakuna kulala

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Naogopa kukufuru kwa kusema ...be cursed..., anyway, una umr gan ndugu?

Umri kama wa kaka ako mkubwa

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…