Job Yustino Ndugai yuko wapi

Job Yustino Ndugai yuko wapi

Atakuwa ameenda kushuhudia ndoa nyingine ya yesu huko capernaum.
Umeniwahi mkuu kapernaumu ilikua akilini mwangu.

Sasa hawa jamaa wanafukuzana huko halafu wanakuja tena kutuuliza waliowafukuza wako wapi??
 
Tangu ashangiliwe kwa nguvu kubwa na wabunge siku ya kupitisha bajeti Kuu ya Serikali, Spika aliyejiuzulu Job Ndugai hajaonekana tena je yuko wapi mwanasiasa huyu
Yupo Galilaya anavuna zabibu.
 
Back
Top Bottom