Jobless: Kila hatua dua

Inaonyesha yuko kwenye hali mbaya sana
Tatizo lenu hamtaki uhalisia

Mnataka kubembelezwa na Motivation speakers.

Kwamba hata mbuyu ulianza kama mchicha[emoji1][emoji1]

Ndivyo mnataka msikiage hivyo tu.
 
Ni kweliii lakini nadhani inategemea na mtu ameyapimaje mafanikio kwakweli, sisi tunakimbilia kujenga wahindi wala awana tabu na NHC na wanatuzidi uwekezaji na maokoto
 
[emoji23] maneno ya aina hii yanatoka kwetu kajamba nani, uwezi pambana usione progress unless we umeamua tu maisha yako yawe ivoo
Hamtaki uhalisia.

Mnataka kubebembelezwa na Motivation speakers na maneno matamu matamu kama "See you at the top"

Kumbe ni maskini choka mbaya mko down hukoooo[emoji1][emoji1]

Nakwambia hivi [emoji116]

Si kila aliye pambana, Alifanikiwa wengine walikufa.

Hard Truth.
 
Wala si kitu cha kuitwa hard truth ni maisha na yanawatokea watu kweli si wote wanafika kilele cha mafanikio wengine waliondoka katika hali hiyo ya ufukara, hili ni angalizo tu katika mapambano lakini si kitu cha kuweka akilini
 
Waafrika hasa watanzania wanatakaga kubembelezwa na Motivation speakers kwa maneno matamu matamu kuhusu mafanikio,

Wanataka wa ambiwe maneno kama
"See you at the top" kumbe ni maskini choka mbaya wako kwenye absolute poverty kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]

Wana amini shwa kwamba " You are the boss" kumbe ni walala hoi.

Muda mwingine mpe mtu makavu kwamba yeye ni maskini, ili apate Hasira ya kupambana kufa kupona.
 
Ni kweliii lakini nadhani inategemea na mtu ameyapimaje mafanikio kwakweli, sisi tunakimbilia kujenga wahindi wala awana tabu na NHC na wanatuzidi uwekezaji na maokoto

Kabisa mkuu.
 

Yaani kazi kweli kweli aloo.
 
maisha nyoko sana, yaani kukata tamaa kunakuja automatic hata uambiwe neno gani unaona kama bolingo tu
Hasa ukiona mbele uoni future.Aisee naelewa vzr maumivu ya kuwa jobless.Mungu awafungulie milango ya riziki.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] mkuu una experience na unacho zungumza bila shaka.
Nilipeleka mzigo kwenye kampun fulan hapa dar wanipelekee tabora, gundu linaanza mzigo uko chini mwez mzima,
Sasa nikawafosi wakapeleka nusu, nikaenda mpaka pale kaliuwa nikaingia nayo vijijin ndanindani huko,

Siku niliyofika nimeuza sh 3500 yalikuwa ni maplastik,
Sasa nikaona hapa nimeyatimba, nikauza kwa bei yakurudisha gharama zangu lakin bado,

Akili ikanijia niende pale kaliuwa mjini niuze bei yajumla , nikayarudisha maana nilipeleka kitu ambacho hakihitajiki
Mwenyeji wangu kila nikimwambia tuzunguke wote ananiambia nitulie mpaka siku ya mnada nilipofikia
Mim na yeye tulionana siku hiyo tu

Nikafanya mpango nikayauza palee mjini kwa bei ya hasara, nikaona hii iliyopatikana ngoja nibebe asali huenda niksziba hii pancha niliyopata

Nimeenda inyonga kule katavi nimekuta asali imechachamaa bei nikachukua lita 20 tu,

Baadae nimekaa nasubir magari ya kutoka mpanda nirudi dwaswam napigiwa cm eti ule mzigo nusu wamepeleka sehem yake nijiandae nikaupokee
Iliniuma kwa sababu nilitoa taarifa baada ya huu wa kwanza kubuma huo mwingine wasiulete mpaka niwaruhusu,
ukiangalia huna mdhamin siyo kwenye kampuni wala serikalin tabu tupu hela zenyew ni zile za nusu yako nusu yakurejesha
 
Unajua mkuu maisha n magum sana ila kuna watu wanapenda kurahisisha katika upande ambao hata wao hawauishi, ni mungu tu ndo ajuaye tuyapitiayo ila hakuna mwenye moyo mgumu ambaye hakuwahi kukata Tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…