Mkuu wewe wa kwetu naona unatumia neno "ndalama".I like these type of women. They are honest! Unlike some wanajidai oh mie mwanaume anipende tuu mengine tutapambana pamoja kutafuta. Big liers.
Mzee kasake ndalama alafu huyo muoe. She is real.
Mkuu ni muoe tena? Acha aende tu, kwanza sina case naye kabisa maana psychologically & Financially amenisupport sanaI like these type of women. They are honest! Unlike some wanajidai oh mie mwanaume anipende tuu mengine tutapambana pamoja kutafuta. Big liers.
Mzee kasake ndalama alafu huyo muoe. She is real.
Basi vizuri ila huyo muweke benet ata kama ni rafiki.Mkuu ni muoe tena??, Acha aende tu, kwanza sina case naye kabisa maana psychologically & Financially amenisupport sana
Eeh bhana shukrani, sina kinyongo naye maisha yataendelea kama kawaida tu, Sema deep down inside karoho lazima kaniumedaaah, pole sana msela but ukiweza kucontroll maumivu ya kuachwa hata mkikutana umuone kama watu wengune basi ujue umefika kwenye level za uanaume
Hapo kwenye karoho lazima kanauma, the same way hata mimi kwa demu tuliyeachana huwa kananiuma nashindwa kujizuia na kuzuia mihemko, ila inafika pahara nazoea kabisaEeh bhana shukrani, sina kinyongo naye maisha yataendelea kama kawaida tu, Sema deep down inside karoho lazima kaniume
Huu ndio ukweli wenyewe๐ฏI like these type of women. They are honest! Unlike some wanajidai oh mie mwanaume anipende tuu mengine tutapambana pamoja kutafuta. Big liers.
Mzee kasake ndalama alafu huyo muoe. She is real.
Ila We jamaa unanivunja mbavu mno. Nimecheka kinoma