ANKO THOBIAS
Member
- Sep 16, 2013
- 21
- 0
Mliopo na mnaoenda chuo kikuu cha josiah kibira collage of tumain universty makumira bukoba tutafutane 2peane stori
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mliopo na mnaoenda chuo kikuu cha josiah kibira collage of tumain universty makumira bukoba tutafutane 2peane stori
mm nilifkiria ni jina la rocket ya syria..kumbe ni chuo..makubwa..
mm nilifkiria ni jina la rocket ya syria..kumbe ni chuo..makubwa..
hahahaaaa..sio hivyo bana..hilo jina tu limenitisha..nilikua sijajua kama ni SAUTww flyn ryder...unajishauwa coz upo mjini eeh na chuo chako cha "ardhi...."!!!!!!!
hahahaaaa..sio hivyo bana..hilo jina tu limenitisha..nilikua sijajua kama ni SAUT
Wanafunzi wenzako wanao enda mwaka wa pili, iliwabidi wafanyiwe assessment na wakuu wa shule(kwa wanafunzh wa BAED) Mkoani kigoma kwa madai kwamba pesa ambazo wangetumia wakufunzi wakati wa field zimewekwa ktk ujenzi n.K. Kwa wazoefu sijui hii ni sawa ama vipi.
Wale wa education mtakutana na associate lecturer anaitwa mutarubukwa,,ni class-teacher wa HGE pale IHUNGO SEC
*not an offence nor an insult