JoCUKo

JoCUKo

ANKO THOBIAS

Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
21
Reaction score
0
Mliopo na mnaoenda chuo kikuu cha josiah kibira collage of tumain universty makumira bukoba tutafutane 2peane stori
 
tupe jomba habar za josiah kibira kunan mm kuna jamaa yangu anaenda uko
adm1.jpg
 
Mliopo na mnaoenda chuo kikuu cha josiah kibira collage of tumain universty makumira bukoba tutafutane 2peane stori

Wanafunzi wenzako wanao enda mwaka wa pili, iliwabidi wafanyiwe assessment na wakuu wa shule(kwa wanafunzh wa BAED) Mkoani kigoma kwa madai kwamba pesa ambazo wangetumia wakufunzi wakati wa field zimewekwa ktk ujenzi n.K. Kwa wazoefu sijui hii ni sawa ama vipi.
 
Wale wa education mtakutana na associate lecturer anaitwa mutarubukwa,,ni class-teacher wa HGE pale IHUNGO SEC

*not an offence nor an insult
 
jaman vyuo vimekua vingi so sometimes hatujui hizi shortcut msione ninawakejeli..
 
Wale wa education mtakutana na associate lecturer anaitwa mutarubukwa,,ni class-teacher wa HGE pale IHUNGO SEC

*not an offence nor an insult

Yah! Its not an insult bu exclude me plz. Sema watakutana
 
Back
Top Bottom