Joe Biden ajichanganya, asema anajivunia kuwa mwanamke mweusi

Joe Biden ajichanganya, asema anajivunia kuwa mwanamke mweusi

Wamarekani wenyewe wanaanza kukiri kwamba huyu mzee alishajichokea muda mrefu ila vyombo vya habari vikaficha, vikasadia kuficha madhaifu yake.

Sasa mambo hadharani, hata cnn, msnbc na legacy media zote ambao ndio washirika wake wakubwa wamemgeuka, wanasema apumzike.

Biden mwenyewe anakiri kwamba kuna muda ni mzima na kuna mda sio mzima kiakili.

Wanaotaka aendelee ni wale wanaofaidika nae, ambao ndio wanaiongoza Marekani kwa mgongo wa nyuma kwa sababu Biden hakuna kitu anafanya, wanamfanyia na kumpa asaini tu kama mhuri.

Trump anajipigia Biden anavyotaka.
Kumbe huko nako kuna chawaz
 
Simpendi Trump ila Joe Biden ni unfit kuwa rais. Democrats wakubali tu kuwa uchaguzi huu wamepoteza.
 
Unamuita Obama Mweusi alafu Kamara utamuita nani ? Ungewaita wote sio weusi angalau ningekuelewa


In her new role, Harris will break many barriers of her own: She is the first woman, first Black person, and first person of South Asian descent to become the vice president of the United States.

But such boundary-breaking is never without strife. When Harris was nominated in August, her biracial identity prompted much discussion on social and traditional media about her background as the daughter of an Indian immigrant mother and a Jamaican immigrant father.
 
Record juu ya record, historical events but the time will tell.
 
Joe Bide mwenye umri wa miaka 81, alijikanyaga wakati wa mahojiano jana 4/7/2024 Alhamisi na WURD ya Philadelphia, akionekana kujichanganya na Makamu wake Kamala Harris.

'.... hata hivyo, ninajivunia kuwa, kama nilivyosema, makamu wa kwanza wa rais, mwanamke wa kwanza mweusi ... kuhudumu na rais mweusi. Ninajivunia kuhusika na mwanamke wa kwanza mweusi kwenye Mahakama ya Juu. Kuna mengi sana ambayo tunaweza kufanya kwa sababu, tazama ... sisi ni Marekani.'



Biden alionekana kuangazia uteuzi wake wa Kamala Harris kama Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke mweusi wa Marekani.

Kwa kuchanganya, yeye mwenyewe hapo awali alikuwa Makamu wa Rais, ambayo inaelekea ni kile alichokuwa akirejelea katika 'kuhudumu na Rais Mweusi.'

Ikumbukwe jaji wa kwanza wa kwanza wa kike mweusi, aliteuliwa kwa mara ya kwanza Biden mwaka 2022.

Kumekuwa na maoni kadhaa yakimtaka bideni ajitoe kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais kwa ungwe ya pili, huku michango ya kwaajili ya kampeni yake ikitazamiwa kushuka wengi wakiongelea suala la umri ambao unaonekana kumtumpa mkono kutokana na matukio mfululizo ya kusahau baadhi ya taarifa kuendelea kutokea.

===

Pia soma: Rais wa Marekani Joe Biden aanguka jukwaani

View: https://x.com/everest_W0RLD/status/1809877258254848022?t=48qHGeTIU1z_JY-_dvLrLA&s=19
 
Kushirikiana na nduguze mayahudi, kuuwa watoto, wazee na wamama unadhani ni sawa? Ona anachopitia, na bado
Waarabu kwenye Biashara ya Utumwa wameua mamilioni ya Waafrika zamu yao imefika tuliza mshono
 
Wewe kama una mbadala si uweke hapa ili tuusome

Mnapotoshwa, mkiombwa ushahidi mnatuletea hadithi za mashuleni na mapicha picha ya kuchorwa 😄😄😄 hahhaaaa, nyie watu bado mnahitaji elimu sana, waliowaaminisha hayo maujinga walijua kuwaingiza mjini. Pole sana
 
Back
Top Bottom