hahahaha! au basi malizia kula tu..Mfyuuu.!! Nipo kula bana acha ujinga 😹😹
Noteworthy, hajam-endorse Kamala!Sasa next nominee wa Democrats anaweza kuwa nani?
Kamala hawezi pewa hiyo nafasi..
Nope!CNN International wana cover hiyo new now, tutegemee mama VP akipewa nchi?
Vipi kuhusu Mbowe?Bado Hangaya sijui naye atatangaza lini .
Chama ndo Kina-endorse mgombea sio Biden au mtu Flani Kama Bongo Mkuu!Noteworthy, hajam-endorse Kamala!
Maana yake ni kwamba hamuamini.