Joe Biden amsamehe Mwanae Hunter Biden makosa yake ya Jinai

Hunter kahukumiwa Leo na amepatikana na hatia, tarehe 13 ndo angesomewa muda wa kukaa jela..mue mnafatilia habari vizuri
BAdo system yao ni ya kindezi
Unahukumiwa leo,siku za kukaa jela mpaka wiki mbili zipite ndio unaambiwa,so kwa muda huu hapa kati unakuwa wapiJela aunyumbani?,jama kutoroka si unatoroka.
Pili unahukumiwa leo,leokei baba yako anakupa msamaha,undezu
 
Acha kutetea mambo ya ajabu, Biden kasema hiyo kesi ilikua politically motivated ila hayo hayo aliposema Trump walisema anajitetea ili kukwepa tuhuma zinazomkabili. Hizi double standards ni ajabu sana
 
Hajavunja katiba thats my point.... i dont care what hunter did, kimsingi rais ana mamlaka ya kufanya parole na ndo kafanya ivo, kuna shida wapi?
 
Kuna nyumbu wanafikiri USA kuna haki sawa kwa wote!! Haya sasa umeona aliyenacho anaongezewa. Amejua akishaingia Mbabe Trump asingetoa msamaha kwa huyo mtoto. Rais Biden ameamua kuingilia process ya mahakama kabisa.
 
Amewezaje kutoa msamaha kwa mtoto wake kabla ya hukumu ya mahakama haijatoka? Acha kutetea ujinga mkuu!
 
Hunter kahukumiwa Leo na amepatikana na hatia, tarehe 13 ndo angesomewa muda wa kukaa jela..mue mnafatilia habari vizuri
Tuambie alikuwa amehukumia kutumikia jela miaka mingapi au kulipa faini kiasi gani? Huyo alipatikana na hatia lakini hukumu ilikuwa bado haijatolewa mpaka tarehe 13 Desemba 2024.
 
Tuambie alikuwa amehukumia kutumikia jela miaka mingapi au kulipa faini kiasi gani? Huyo alipatikana na hatia lakini hukumu ilikuwa bado haijatolewa mpaka tarehe 13 Desemba 2024.
Dah sijui kwanini mnakua wagumu kuelewa, katiba ya usa inampa haki rais kutoa msamaha kwa mtu ambaye tayari yupo convicted(kupatikana na hatia) hata kabla bado hajahukumiwa ndo maana kapewa msamaha leo leo

Hata hivo hukumu ilipangwa kusomwwa 13.12 na biden yupo ofisini mpaka 21.12 hivo ingekua hairuhusiwi biden angesubiri hizo siku 10 angemtoa tu,

Alafu unajua hata makosa menyewe ni yapi? Usa wenyewe wanashangaa maana sioni kosa la maana hata la kumpeleka jela..just a political motivated case... wamemchunguza hunter miaka yote hio wamekuja na kesi za kipumbavu tu

Unachomlaumu biden ni nini? Je amevunja katiba? Kama ndio njoo na hicho kifungu basi
 
Kuna nyumbu wanafikiri USA kuna haki sawa kwa wote!! Haya sasa umeona aliyenacho anaongezewa. Amejua akishaingia Mbabe Trump asingetoa msamaha kwa huyo mtoto. Rais Biden ameamua kuingilia process ya mahakama kabisa.
Hapana, Trump sio mtu wa visasi na alishasema angem pardon tu huyo mtoto wa Biden.
 
Shida ya hao Democrats waliamua ku weaponize justice system ya Marekani ili wamkomeshe Trump wamejikuta inaanza kuwagusa na watu wao wa karibu.

Bahati nzuri Trump hanaga muda mchafu wa kutumia power ya rais kukomoana kisiasa na wapinzani wake.
 
Uhuru wa mahakaman upo wapi sasa?. Angesubir hukumu kwanza.
Huyu ndio Rais wa Marekani alietia huruma kuliko Marais wote ana story kubwa sana ya kuelezea huko mbele maana hana Muda mrefu wa kuishi Mzee amechoka sana yaan Mzee kachoka kinoma ukiongea nae usiongee vitu vingi kwa wakati mmoja utampoteza maboya
 
hapo amewajibishwa nini zaidi msahama wa hovyo kwa mhalifu huyo

ngoja january ifike kesi itaanza upya
Hata hiyo tu ya kumshitaki mtoto wa rais huoni kuwa ni uwajibikaji!!?

Bongo ndugu wa rais anaua kwa ajali ya gari na hata kwenye daftari la malalamiko hukuti kesi.
 
Hajavunja katiba thats my point.... i dont care what hunter did, kimsingi rais ana mamlaka ya kufanya parole na ndo kafanya ivo, kuna shida wapi?
Oooh basi Trump akiingia madarakani akajisamehe mwenyewe watu wasilalamike. Unajua hata kuajiri mwanao kuwa Jenerali wa Jeshi haikatazwi kikatiba but is it ethical? By the way Joe Biden aliahidi hatowahi pardon mwanaye. What happened to the so called "guardians of democracy".
 
Na lazima atajisamehe tu maana hata hivo atakua hajavunja katiba..... usa wakiona hio katika ni mbovu basi wairekebishe

Alafu hajamsamehe tu makosa hayo aliyokutwa na hatia nayo... amempa pardon blanket ya miaka 10 (kuanzia 1 december 2014- hio jana)... hunter alikua na masaa manne baada ya biden kutangaza kabla ya hio window haijaisha.. ina maana ndani ya hayo masaa manne hata akampiga mtu risasi ya kichwa point blank hakuna kitu wangemfanya😃, hata hunter akija gundulika alifanya makosa ndani ya hio window ya miaka 10 hawezi mtu kumshitaki... hapa nahisi biden anajua kuna madudu mengine alifanya hunter

Biden kusema hatoingilia mahakama ilikua political move... alidhani labda harris atashinda ndo aje kumsamehe hunter, ila hata kama ni wewe unaweza gamble uhuru wa mtoto wako kwa rais kichaa kama trump, HELL NO!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…