Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats!
Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton?
Pia, soma=> Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton?
Pia, soma=> Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024