Joe Biden amuunga mkono Kamala Harris kuwania Urais, Marekani kupata Rais wa kwanza mwanamke?

Hivi hii endorsement ya Biden Kwa Kamala Haris, maana yake nini kisiasa na kikatiba Kwa muktadha wa Marekani?
 
Yes! Tunamuunga mkono Camara Haris. Ndugu yangu Nyani Ngabu, achana na mbaguzi Trump, hebu tumuunge mkono Camara Haris.
 
Mpaka sasa rais wa marekani ajaye after Bidden anajulika ni nani ,kwa hiyo democratic watakacho fanya wataweka mgombea just for formality ili kukamilisha ratiba otherwise kamala hana ushawishi kile mpaka amshinde Trump katika hizi presidential race za USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…