Joe Biden aondoa vikwazo vya Viza ya bahati nasibu kwa Watanzania

Hapo umemtaja mtu mmoja tu ambaye hata ushiriki wake nao ni wa utata halafu unakuja na statement inayosema watanzania wengi.,

Huoni kuwa umedanganya hapo.
Tanzania ni PERFECT. Mabeberuuuuu wanatuonea wivu tuna Mfugale Flyover
 
Tanzania ni PERFECT. Mabeberuuuuu wanatuonea wivu tuna Mfugale Flyover
Naona umekosa facts za kussuport argument zako, umeanza kuleta vihoja.

Enjoy your weekend mzee.
 
Hapo umemtaja mtu mmoja tu ambaye hata ushiriki wake nao ni wa utata halafu unakuja na statement inayosema watanzania wengi.,

..unasema yule dogo wa kiTz aliyekamatwa kwenye tukio la ugaidi Kny ushiriki wake ni wa utata?

..hebu tuhabarishe zaidi una maana gani kusema hivyo. je, unamaanisha kwamba yule kijana amesingiziwa?
 
Hebu tuambie hizo dosari. Kwani Trump alifungua kesi 62 katika mahakama huru na zote kupigwa chini kwani alikuwa hana ushahidi wowote wa kuonyesha kwamba aliporwa ushindi.
Bado haimaanishi kuwa uchaguzi ulikuwa hauna dosari.
 
..unasema yule dogo wa kiTz aliyekamatwa kwenye tukio la ugaidi Kny ushiriki wake ni wa utata?

..hebu tuhabarishe zaidi una maana gani kusema hivyo. je, unamaanisha kwamba yule kijana amesingiziwa?
Kumkuta mtu juu ya dari haimaanishi ni gaidi , yule dogo alikosa tu wakili mzuri angechomoka hakukua na ushahidi wowote wa kumuunganisha na hilo tukio zaidi ya kukutwa juu ya dari Bila maelezo ya kutosha.
 
Yaani kushangilia kwenda kwenye nchi inayokubali ushoga....duuhj
 
Kwanza iliyo ondolewa kwenye vikwazo ni ile zuio la green card na sio kwa wale walio haribu uchaguzi.. Ban iko pale pale
Kama sio upumbafu uliokithili, unamuwekeaje ban mtu alieko inchini kwake eti asije kwako, kwani kwako ni ndo kuna uhaiii?? Mbona ata apamitaaanii kuna kijamaa utasikia kinasema, usije kwangu, sasa utajiuliza, kwani Mimi nakula kwake??.
 
Kumkuta mtu juu ya dari haimaanishi ni gaidi , yule dogo alikosa tu wakili mzuri angechomoka hakukua na ushahidi wowote wa kumuunganisha na hilo tukio zaidi ya kukutwa juu ya dari Bila maelezo ya kutosha.

..sasa alikuwa amefuata nini Kenya, na zaidi chuoni kulipotokea ugaidi?

..au alikuwa amekwenda kungonoka na mademu wa chuo?

..inawezekana kilichomfanya awekwe kundi moja na magaidi ni zaidi ya kukutwa juu ya dari.

..pia kama sijakosea siyo wote walioshtakiwa walipatikana na hatia.

..ngoja nimuulize jamaa yangu MK254 anaweza kuwa amefuatilia vizuri suala la Rashidi Mberesero.

Oi daaah Safi Sana bado tuna American dream hii miaka 4 naweza pata hio chance ngoja tuendele jaribu bahati
 
Kuna mtu humu alipropose watu Waombe inaweza ondolewa akiingia Biden. Naona aliona mbali.... Otherwise watanzania. waendelea Omba tena October...
 
Kenge zinachukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…