Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Uandishi wa kiLumumba. Inakushinda nini kuandika "visa ban ya bahati nasibu'?
Ni wazi kichwa cha bandiko lako kinalenga kupotosha kama siyo kuendesha propaganda.
Vikwazo visivyokua na maana havina impact kwa taifa.Vikwazo viko palepale, tatizo uelewa wako upo kiCCM zaidi.Ubongo wako umeitunza ndani ya matumbo ya akina Polepole.
Si kweli, Uchaguzi wa U.S 2020 ndio umethibitisha kwamba Demokrasia inaheshimiwa Marekani, na kwamba ni muhimu kujenga na taasisi imara na kuzisimamia, na kwamba mamlaka ya nchi ni ya wananchi. Ni tofauti na kufuata mihemko ya mtu mmoja au ya kikundi fulani kwa maslahi yao binafsi badala ya maslahi ya nchi kwa ujumla.Kwani hata wao alikudanganya nani kuwa nao haukuwa na shida? Tena kama kuna mwaka ambao Uchaguzi wa US umewaaibisha hasa ni wa 2020.
Sababu trump ana tabia za kiafricaKwani hata wao alikudanganya nani kuwa nao haukuwa na shida? Tena kama kuna mwaka ambao Uchaguzi wa US umewaaibisha hasa ni wa 2020.
Hivyo vikwazo ni kwa viongozi na familia zao wao ndo waathirika na sio wanyongeHili ni jambo jema kwani watanzania wa kawaida hawana sababu ya kuwekewa vizuizi/restrictions zozote.
Wewe utakanyaga Marekani lini?Ukimsoma kwa makini aliyeanzisha thread anareflect poor IQ za Watanzania waliowengi.
Imagine taarifa ya ubalozi wa Marekani wametowa taarifa hiyo kwa kiswahili na kingereza na bado jitu bogus hajui kilichoongelewa hapo ni kipi.
Makonda hatakiwi Marekani, na wote walioshiriki kuiba uchaguzi orodha yao ipo kamwe hawatakanyaga Marekani.
Serikali yoyote ya Marekani haicheki na waharibifu wa demokrasia Afrika.
maCCM hamatafanikiwa kwenye bahati majibu hiyo. 1. Mahera na Kaijage hawapo.Kenge zimechukia green card kurudi
..sasa alikuwa amefuata nini Kenya, na zaidi chuoni kulipotokea ugaidi?
..au alikuwa amekwenda kungonoka na mademu wa chuo?
..inawezekana kilichomfanya awekwe kundi moja na magaidi ni zaidi ya kukutwa juu ya dari.
..pia kama sijakosea siyo wote walioshtakiwa walipatikana na hatia.
..ngoja nimuulize jamaa yangu MK254 anaweza kuwa amefuatilia vizuri suala la Rashidi Mberesero.
Bado haimaanishi kuwa uchaguzi ulikuwa hauna dosari.
Tunachafuliwa vip wale waliokua kibiti ni wa Nchi gani baadae wakakimbilia msumbiji na wamepata sapoti huko wanaua watu hovyo kwani Watanzania ni malaika?Watanzania kujiunga kwenye vikundi vya kigaidi??
Vipi hivyo mkuu??
Mbona unatuchafua watanzania??
Sijaona official statement toka serikali ya Msumbuji inayosema kuwa hao magaidi waliopo huko msumbiji wametokea Tanzania kibiti, hii wewe umeitoa wapi??Tunachafuliwa vip wale waliokua kibiti ni wa Nchi gani baadae wakakimbilia msumbiji na wamepata sapoti huko wanaua watu hovyo kwani Watanzania ni malaika?
Na yule aliekamatwa Cape town wakampeleka USA au huyu dogo aliekamatwa kwenye hostel za wanafunzi wa kike Uganda na ameshafariki sio Mtanzania? Kwani ukiwa Mtanzania inakufanya usifanye mambo yasiopendeza jamii?Sijaona official statement toka serikali ya Msumbuji inayosema kuwa hao magaidi waliopo huko msumbiji wametokea Tanzania kibiti, hii wewe umeitoa wapi??
Wakudadavuwa msome Matola kwa utulivu utaelewa. Hiyo aya ya mwisho inaeleza kila kitu.Kuna visa ban mbili tofauti zinawachanganya watu, kuna hii ya awali ambayo ni ya kuhusiana na ugaidi zaidi, ilikataza green card lottery kwa Watanzania na nchi kadhaa za Kiislamu.
Hii ndiyo Biden kaiondoa, imekaa kizushi zushi hivi.
Nyingine ya juzi juzi hapa imewekwa siku za mwisho za utawala wa Trump dhidi ya viongozi wa serikali Tanzania, kuhusiana na uchaguzi, hiyo bado ipo pale pale.
Umetoka msumbiji naona umekimbilia kutaja mtu mmoja cape town na mwingine kenya.Na yule aliekamatwa Cape town wakampeleka USA au huyu dogo aliekamatwa kwenye hostel za wanafunzi wa kike Uganda na ameshafariki sio Mtanzania? Kwani ukiwa Mtanzania inakufanya usifanye mambo yasiopendeza jamii?