Angalia huyu kiazi , uko Marekani unahisi ni peponi ... kumbe fala sana wee Jamaa Bonge la mshamba flani ivi, Kichwa naziUkimsoma kwa makini aliyeanzisha thread anareflect poor IQ za Watanzania waliowengi.
Imagine taarifa ya ubalozi wa Marekani wametowa taarifa hiyo kwa kiswahili na kingereza na bado jitu bogus hajui kilichoongelewa hapo ni kipi.
Makonda hatakiwi Marekani, na wote walioshiriki kuiba uchaguzi orodha yao ipo kamwe hawatakanyaga Marekani.
Serikali yoyote ya Marekani haicheki na waharibifu wa demokrasia Afrika.
Uzalendo sio kufuga magonjwa umejifungia bongo hakuna unachojua hiyo ya Cape Town ilikua mwaka gani kama sio zaidi ya miaka 18 iliyopita kutetea maovu aikufanyi wewe eti ni mzalendo ni kujidanganya huko nasema tena baadhi ya Watanzania wapo hapo cabregado msumbiji endelea kusubiri tamko la serikali ya msumbiji...Umetoka msumbiji naona umekimbilia kutaja mtu mmoja cape town na mwingine kenya.
Sijaona mahali hao watanzania wengi walipotajwa kujinga na vikundi vya ugaidi.
Wakati mwingine mjifunze kuchuja taarifa zinazotolewa na nchi hasimu kuharibu image ya nchi yetu.
Vijana mnakosa uzalendo kabisa na Taifa lenu, mnashindwa kujua hapa ndio nyumbani Mungu alipotupa na hakuna Tanzania nyingine zaidi ya hii hivyo tunapaswa kuithamini na kuilinda.
Siwezi tegemea maneno ya mtu anayeitwa Isanga ambaye hata siufahamu uraia wake kuhusiana na situation ya Msumbiji kuliko serikali ya msumbiji wacha iwe hivyo, nasubiri statement ya serikali ya huko na ya hapa.Uzalendo sio kufuga magonjwa umejifungia bongo hakuna unachojua hiyo ya Cape Town ilikua mwaka gani kama sio zaidi ya miaka 18 iliyopita kutetea maovu aikufanyi wewe eti ni mzalendo ni kujidanganya huko nasema tena baadhi ya Watanzania wapo hapo cabregado msumbiji endelea kusubiri tamko la serikali ya msumbiji...
Unajiita mzalendo wakati una chembe chembe za ubaguzi utakutafuna huo mambo ya uraia umeanzia wapi? Na hiyo dhambi ya ubaguzi haiishii kwako omba uifute ni karma mbaya sana...Siwezi tegemea maneno ya mtu anayeitwa Isanga ambaye hata siufahamu uraia wake kuhusiana na situation ya Msumbiji kuliko serikali ya msumbiji wacha iwe hivyo, nasubiri statement ya serikali ya huko na ya hapa.
Hapo umenena vyema " uelewa wa watanzania ni dhaifu sana". Wamarekani weusi wanachokidiscuss kuhusu jamii yao na afrika kwa ujumla ni tofauti kabisa na mtanzania anachokifikiria. Wamarekani weusi wako mbali sana kifikra. Nikisoma comment za watanzania wengi bado wako far behind na kwa akili hizi ni rahisi sana kua manupulatedWakudadavuwa msome Matola kwa utulivu utaelewa. Hiyo aya ya mwisho inaeleza kila kitu.
Hivi unajua ni kwanini Pompeo alipiga pini masaa machache kabla ya Biden kuingia?
Kuiondoa Ban kunahitaji review mpya!
Hii mbinu ya kutumia udhaifu wa uelewa wa Watz tunaijua!
Kuna bandiko umeongelea ICC ili kukwepa mada, naona somo limeeleweka na huondoi watu kwenye hoja.
Ubaguzi ndio msingi wenyewe wa Uzalendo.Unajiita mzalendo wakati una chembe chembe za ubaguzi utakutafuna huo mambo ya uraia umeanzia wapi? Na hiyo dhambi ya ubaguzi haiishii kwako omba uifute ni karma mbaya sana...
Ni aibu kuona watanzania hawaoni hata mwanga kwa kinachoendelea kwa picha kubwa. Bado mtanzania anaweka ushabiki wa kisiasa kwa nchi ambayo ni colonizer. Its neither biden nor trump ana faida kwa miafrika. Ni ujinga kushabikia upande wowote wa siasa za marekani. Wamarekani weupe na serikali yao wanaishi maisha mazuri kwa nguvu kazi ya mtu mweusi aliyeko marekani na afrika. Na agenda za maraisi wote ni kutafuta mbinu za kumnyonya muafrika kiakili sana in such a way asishtuke. Trump kwetu sisi tena ilibidi tumshukuru japokua na yeye alikua walewale. Kwa bahati nzuri au mbaya trump aliwapiga pini viongozi wa afrika wanaopenda kuaafiri kuja marekani kuomba msaada na kula bata. Ilisaidia kwa sababu viongozi wengi wa afdika wanapenda rushwa na wanajifikiria wao tu. Trump aliwaambia afrika ni lazima ijitegemee na viongozi wa afrika mjikite katika kutatua matatizo ya afrika na sio kuzurura na kula bata.Hapo umenena vyema " uelewa wa watanzania ni dhaifu sana". Wamarekani weusi wanachokidiscuss kuhusu jamii yao na afrika kwa ujumla ni tofauti kabisa na mtanzania anachokifikiria. Wamarekani weusi wako mbali sana kifikra. Nikisoma comment za watanzania wengi bado wako far behind na kwa akili hizi ni rahisi sana kua manupulated
Uchaguzi wa Marekani pia ulikuwa na dosariBado haimaanishi kuwa uchaguzi ulikuwa hauna dosari.
Hii haina uhusiano na Ban ya Bashite n Ile ya Juzi.Siku moja baada ya kuapishwa Joe Biden aondoa Visa Ban iliyowekwa kwa Tanzania.
View attachment 1683401
View attachment 1683412
Proclamation on Ending Discriminatory Bans on Entry to The United States | The White House
The United States was built on a foundation of religious freedom and tolerance, a principle enshrined in the United States Constitution.www.whitehouse.gov
MATAGA yalishaanza kutaka ku spinila hajamwondolea BASHITE NA NDUGU ZAKE.
HAJAWAONDOLEA MATAGA wote, walio haribu uchaguzi mkuu 2020.
CHADEMA wanaumia!!Januari 30, 2020 serikali ya Donald Trump ilitangaza kuwawekea Watanzania vikwazo vya kushiriki bahati nasibu hiyo pamoja na raia wa nchi nyingine kadhaa.
Kwa mujibu wa afisa mmoja mwandamizi wa utawala uliopita wa Trump, nchi hizo ziliwekewa marufuku hiyo kwa kushindwa kufikia "kiwango stahiki cha ulinzi na kupashana taarifa".
View attachment 1683785
"Nchi hizi, kwa sehemu kubwa, zinataka kutoa msaada lakini kwa sababu mbali mbali zimefeli kufikia viwango vya chini tulivyoviweka," aliyekuwa Naibu Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani Chad Wolf aliwaambia wanahabari baada ya kutangazwa kwa vikwazo.
Hii leo, Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetangaza kuwa marufuku hiyo imefutwa rasmi na rais mpya wa nchi hiyo Joe Biden aliyeingia madarakani juzi Jumatano.
"Mojawapo kati ya hatua zake za mwanzo kabisa akiwa Rais, Rais Biden ameondoa kikwazo kilichowekwa kwa Watanzania kuomba Viza ya Bahati Nasibu (Diversity VISA - DV)," ubalozi huo umeandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Bahati nasibu hiyo ilipitishwa kisheria nchini Marekani mwaka 1990 na bahati nasibu ya kwanza ikafanyika mwaka 1995. Toka wakati huo, takribani watu 50,000 kila mwaka kutoka nchi mbalimbali duniani hushinda bahati nasibu hiyo na kupata viza ya kuingia Marekani na kufanya kazi kama wakazi wa kudumu.
Washindi wa viza hiyo pia huweza kuhamia nchini humo na wenza wao pamoja na watoto walio chini ya umri wa miaka 21.
Mujibu wa taarifa za Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, katika kipindi cha miaka 10 kutoka 2008 mpaka 2018, jumla ya Watanzania 643 walishinda bahati nasibu hiyo.
Katika kipindi hicho, mwaka ambao Watanzania walishinda wengi zaidi ilikuwa 2009 watu 137 na mwaka ambao walishinda wachache ilikuwa mwaka 2014 watu 28. Zaidi ya Watanzania 10,000 hutuma maombi ya kushiriki bahati nasibu hiyo.
Kwa mwaka 2017 pekee, Watanzania 13,733 walituma maombi, kati yao 6,919 waliingia kwenye kinyang'anyiro na mwishowe walioshinda bahati nasibu walikuwa 46.
Wameondoa kwa sababu ya utawala ulipo ni bora mpk cdm waumie?CHADEMA wanaumia!!
Mmewakubali mabeberu chini ya Biden sasa?Chadema Pompeo na Trump pumbavu zao
Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa
Bado balozi wa marekani aliyepo kufungashwa virago nitafanya sherehe
Biden hoyeeeee
Biden hana shida na nchi zingine anataka marekani isiendekeze siasa ifanye business.Trump kaua business za USA nje kwa kuendekeza siasa za kujiunga ndio maana kaishia kuwa one term PresidentMmewakubali mabeberu chini ya Biden sasa?
Hujajibu swali nililokuuliza na ulilojibu sijakuuliza.Biden hana shida na nchi zingine anataka marekani isiendekeze siasa ifanye business.Trump kaua business za USA nje kwa kuendekeza siasa za kujiunga ndio maana kaishia kuwa one term President
Kuuzia China isinunue vifaa na software za watsap android na kadhalika toka marekani ni kuua sekta binafsi
Hakuna mtu ameua sekta binafsi na kushusha faida za American corporate business abroad kama Trump na chini wake Pompeo kwa vikwazo visivyo na kichwa wala miguu
American corporate business abroad ndio wamechangia kumpiga chini Trump ndio maana hata twitter walimkatia sababu ni wajinga wa sera zake za kibwege zilizoshusha faida abroad kwa vikwazo vyake koko
Trump na Pompeii ndio walisababisha tuone marekani mabeberuHujajibu swali nililokuuliza na ulilojibu sijakuuliza.
Mmewakubali mabeberu chini ya Biden?
Au unasema serikali ya Marekani chini ya Biden haina mabeberu?
Unaelewa kwamba Marekani imebadilisha uongozi wa juu tu, watendaji na misingi ya nchi haijabadilika?