crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Kwani kesi chungu mzima wanazo mfungulia D.Trump kwenye utawala huu wa J.Biden - halafu Trump karibu kesi zote anazishinda, wewe unafikiri J.Biden na washauri wake
lengo lao ni nini hasa??
Kama unafikiri vyombo vya Serikali ya J.Biden wanatumia mbinu za kitoto kujaribu kumjengea hoja D.Trump ili hasigombee tena kiti cha Urais in 2024 you better think twice.
Hata asilimia kubwa ya raia wa Amerika wanasema J.Biden hasigombee kiti cha Uraisi kwa mara nyingine tena.
Hapa ndipo unapofeli, unaweka mahaba mbele kuliko ukweli.
kwani hizo kesi trump anazingiziwa? Juzi fox wamepigwa faini ya karibu tri.2 kwa kuzusha madai ya trump yasiyo na ushahidi ya wizi wa kura. Moja ya kesi alizonazo hizo. Sasa utasemaje anazuiwa wakati makosa alifanya mwenyewe? Kumbuka kwa wenzetu kuna separation of power so biden hawezi kuingilia maamuzi ya mahakama wala kui direct cha kufanya. Kama alifanya makosa atakumbana tu na mkono wa sheria.